Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Sampuli ya Wasaliti na wanafiki kama Pengo? Wapo wengi na yawezekana wewe pia ni mmoja wapo.

Mkuu tatizo ni hiyo lugha aliyoitumia kumshambulia kwenye hadhara ya watu haijakaa vizuri kwa mtu anayejiita mchungaji ingekuwa ni konda wala isingekuwa na shida.

Anyways,nashukuru huo upumbavu unaoitwa dini niliachana nao miongo kadhaa sasa.

Ukiona watu wanakubaliana katika kila jambo jua kuna wengine hawafikirii kabisa ama ni wanafiki na mnapotofautiana lugha za kuudhi siyo njia nzuri ya kuwekana sawa tena kwa watu wanaojiita viongozi wa kiroho.
 
......Jana kuna watu nilikuwa nakaa nao nikaanza kuwaambia alichosema Pengo na walichosema Jumuiya ya Wakristo.
.......Nikawashawishi wapige kura ya hapana na wote wamesema kuwa kuikubali katiba hii pendekezwa ni sawasawa na kujichimbia kaburi.
Kwanini mkuu,kwani ina nini cha ajabu hiyo katiba?.
 
Aliyekuambia wakatoliki ni magaidi nani?, Hatuna Akili finyu kama za wale waliondamana kisa kibonzo cha mwandishi wa habari!
Semeni tu mmeufyata..,kumtia mtu adabu ni ugaidi?
 
Hujajibu swali we kafiri.
Gwajima Kamuita Pengo MPUMBAVU na mjinga asiyekusa na AKILI.
Wewe unasemaje? Je! Alichosema Gwajima ni kweli?

Awali ulikua hujauliza swali, jibu ni kwamba alichokisema BABA MTUKUFU DOKTA NABII GWAJIMA kuhusu Kardinali Pengo ni kweli kabisa.

Uliza swali lingine mdogo wangu.
 
Wakatoliki hawarudishii chochote.Maandiko ya nakataza kisasi.Wanafanyiwa mengi,wanakaa kimya.Kila dhehebu matusi kwa wakatoliki,makanisa kuchomwa,lakini kimyaaa.Tunaamini Mungu yupo
 

Acha kutumia maandiko kupotosha watu kama shetani afanyavyo. YESU hakutukana mtu yeyote alipokuwa na hasira juu ya waliofanya nyumba ya Mungu kuwa sehemu ya biashara Pango la wanyang'anyi. Kutumia biblia kusupport matusi ya gwajima ni wendawazimu tosha.
 
Kardinali Pengo anastahili hizo za uso alizopigwa, na bado sisi Wakatoliki tutampa za usoni na kisogoni. Watu wanalewa madaraka na kutuona hatuna akili sasa wataanza kutambua kuwa tunaishiwa na ukondoo.

Acha ushabiki wa kijinga. Wakatoliki tunafundishwa siku zote kujua kupembua pumba na mchele.
 
Awali ulikua hujauliza swali, jibu ni kwamba alichokisema BABA MTUKUFU DOKTA NABII GWAJIMA kuhusu Kardinali Pengo ni kweli kabisa.

Uliza swali lingine mdogo wangu.

We nawe! Akili zako zinafuata mwelekeo wa profile pic yako. No wonder.
 
sikupenda jinsi gwajima alivyowasilisha ujumbe kwa pengo,lakini pengo naye anapenda publicity yeye aliona shida gan kutoa mawazo yake akiwa na wenzie hko kwny vikao TEC? hii inanifanya niamin kwa sasa inaonekana hana saut mbele ya maaskofu wenzie wa kikatoliki,ndo mana akaamua kutoa maon yake binafsi hadharani.
 
Hoja ya msingi ni alichokisema gwajima juu ya askofu pengo. Tunachopinga ni kutumia matusi kukosoa.kwamba askofu Pengo yuko wrong or right hiyo ni mada nyingine. Mtoa mada ameweka wazi kinachozungumziwa. Tuangalie hoja ya msingi na sio kufuata mihemko
 
Wakatoliki hawarudishii chochote.Maandiko ya nakataza kisasi.Wanafanyiwa mengi,wanakaa kimya.Kila dhehebu matusi kwa wakatoliki,makanisa kuchomwa,lakini kimyaaa.Tunaamini Mungu yupo
Hizi ni dalili za uwoga tu,
 

Dogo unaonekana hata biblia huijui,Galatia 3,paulo anawaita wagalatia wapumbavu wasio na akili,je aliwatukana?mathayo 15:16 yesu anawauliza wanafunzi wake je kumbe na ninyi bado hamna akili/wapumbavu(neno la kigiriki lililotumika hapo linaweza kutafsiriwa kama wajinga au wapumbavu au watu wasio na akili}je yesu aliwatukana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…