Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.

Nani kasema anamtukuza Pengo....

Tunacho jadili hapa ni uhuni wa anayejiita Mchungaji Gwajima..
 

Kaa pembeni wewe..
 
Tuseme mara ngapi kuwa Pengo hana ukuu wa Kanisa Katoliki Tz....???
 
Sasa ulikuwa unakurupuka nini kama chiriku jike....Kwann usijipe muda wa kupitia hotuba ya Pengo kisha utumie akili yako kuchanganua..??

Mimi siwezi kukurupuka Otorong'ongo - mimi nina zero percent emotional approach on these dramas! Siwezi angalia watu wanapiga kelele Pengo katukanwa, wakati mwenzie walikuwa na mahusiano ya kiutendaji. Ila wamekorofishana na sasa Gwajima anamshitaki kwenye mahakama ya wananchi - upuuzi mtupuuuu! Watu wameingizwa kwenye migogoro binafsi, kupigana vita ya Gwajima na Pengo !!!!!!!!!!!

Ninasisitiza - Pengo agangamale!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Gwajima kuvunjika, unavunjika sana; Gwajima kupasuka, umepasuka sana; Gwajima kutikisika, umetikisika sana.

Gwajima unalewa-lewa kama mlevi, nawe unawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zako utakuelemea; nawe utaanguka, wala hautainuka tena.
 

Well said Sir, level yako ya uelewa ipo juu kama ya Pengo, ordinary people have problems in interpretating Pengo's idea. The free mind and decision
 
naona kiingereza kinakupiga chenga, unabishana na kitu ulichoandika mwenyewe!kazi kweli kweli

[h=1]Mimi si wa kiwango cha kubishana kwa maneno, ila kwa hoja, unazidi kubishi bila hoja, sichoki kukuelimisha nakuletea mifano ya nchi ambazo zina makardinali wengi sasa kwa kile unachoongea waongeacho vijiweni fikiria hapo wakuu wa kanisa katika nchi hizo zenye makardianli wengi ni wengi hivyo?[/h][h=1]Nigeria[/h][h=2]Cardinals[/h]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TH]Birthdate[/TH]
[TH]Age[/TH]
[TH]Name[/TH]
[TH]Current Title[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]1 Nov1932[/TD]
[TD]82.40[/TD]
[TD]Francis Cardinal Arinze[/TD]
[TD]Prefect Emeritus of the Congregation for Divine Worship and the Discipline of the Sacraments,Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]16 Jun1936[/TD]
[TD]78.77[/TD]
[TD]Anthony Olubunmi CardinalOkogie[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Lagos[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]29 Jan1944[/TD]
[TD]71.15[/TD]
[TD]John Olorunfemi CardinalOnaiyekan[/TD]
[TD]Archbishop of Abuja

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]United States of America Cardinals[/h]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TH]Birthdate[/TH]
[TH]Age[/TH]
[TH]Name[/TH]
[TH]Current Title[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]21 Nov1926[/TD]
[TD]88.34[/TD]
[TD]William Wakefield Cardinal Baum[/TD]
[TD]Major Penitentiary Emeritus of the Apostolic Penitentiary, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]30 Jun1948[/TD]
[TD]66.73[/TD]
[TD]Raymond Leo Cardinal Burke[/TD]
[TD]Prefect Emeritus of the Apostolic Signatura, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]14 Aug1926[/TD]
[TD]88.61[/TD]
[TD]Agostino Cardinal Cacciavillan[/TD]
[TD]President Emeritus of the Administration of the Patrimony of the Apostolic See, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]23 May1949[/TD]
[TD]65.84[/TD]
[TD]Daniel Nicholas Cardinal DiNardo[/TD]
[TD]Archbishop of Galveston-Houston, Texas[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]6 Feb 1950[/TD]
[TD]65.13[/TD]
[TD]Timothy Michael Cardinal Dolan[/TD]
[TD]Archbishop of New York, New York[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]16 Jan1937[/TD]
[TD]78.19[/TD]
[TD]Francis Eugene Cardinal George, O.M.I.[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Chicago, Illinois[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]20 Oct1949[/TD]
[TD]65.43[/TD]
[TD]James Michael Cardinal Harvey[/TD]
[TD]Archpriest of the Basilica di San Paolo fuori le Mura {Saint Paul Outside-the-Walls Basilica},Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]26 Feb1933[/TD]
[TD]82.08[/TD]
[TD]Lubomyr Cardinal Husar, M.S.U.[/TD]
[TD]Major Archbishop Emeritus of Kyiv-Halyč {Kiev} (Ukrainian), Ukraine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]4 Mar 1931[/TD]
[TD]84.06[/TD]
[TD]William Henry Cardinal Keeler[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Baltimore, Maryland[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]4 Nov1931[/TD]
[TD]83.39[/TD]
[TD]Bernard Francis Cardinal Law[/TD]
[TD]Archpriest Emeritus of the Basilica di Santa Maria Maggiore {Saint Mary Major Basilica},Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]15 Jun1936[/TD]
[TD]78.78[/TD]
[TD]William Joseph Cardinal Levada[/TD]
[TD]Prefect Emeritus of the Congregation for the Doctrine of the Faith, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]27 Feb1936[/TD]
[TD]79.08[/TD]
[TD]Roger Michael Cardinal Mahony[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Los Angeles, California[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]18 Mar1930[/TD]
[TD]85.02[/TD]
[TD]Adam Joseph Cardinal Maida[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Detroit, Michigan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]7 Jul 1930[/TD]
[TD]84.71[/TD]
[TD]Theodore Edgar Cardinal McCarrick[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Washington, District of Columbia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]8 Apr 1939[/TD]
[TD]75.96[/TD]
[TD]Edwin Frederick Cardinal O’Brien[/TD]
[TD]Grand Master of the Equestrian Order of the Holy Sepulchre of Jerusalem, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]29 Jun1944[/TD]
[TD]70.74[/TD]
[TD]Sean Patrick Cardinal O’Malley, O.F.M. Cap.[/TD]
[TD]Archbishop of Boston, Massachusetts[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]19 Apr1935[/TD]
[TD]79.93[/TD]
[TD]Justin Francis Cardinal Rigali[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Philadelphia, Pennsylvania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]26 Jul 1932[/TD]
[TD]82.66[/TD]
[TD]James Francis Cardinal Stafford[/TD]
[TD]Major Penitentiary Emeritus of the Apostolic Penitentiary, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]12 Nov1940[/TD]
[TD]74.37[/TD]
[TD]Donald William Cardinal Wuerl[/TD]
[TD]Archbishop of Washington, District of Columbia

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=1]Germany[/h][h=2]Cardinals[/h]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TH]Birthdate[/TH]
[TH]Age[/TH]
[TH]Name[/TH]
[TH]Current Title[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5 Jan 1929[/TD]
[TD]86.22[/TD]
[TD]Walter Cardinal Brandmüller[/TD]
[TD]President Emeritus of the Roman Curia - Other[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5 Sep 1934[/TD]
[TD]80.55[/TD]
[TD]Paul Josef Cardinal Cordes[/TD]
[TD]President Emeritus of the Pontifical Council “Cor Unum”, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5 Mar 1933[/TD]
[TD]82.05[/TD]
[TD]Walter Cardinal Kasper[/TD]
[TD]President Emeritus of the Pontifical Council for Promoting Christian Unity, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]3 Jan 1935[/TD]
[TD]80.22[/TD]
[TD]Giovanni Cardinal Lajolo[/TD]
[TD]President Emeritus of the Governatorate of Vatican City State, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]16 May 1936[/TD]
[TD]78.86[/TD]
[TD]Karl Cardinal Lehmann[/TD]
[TD]Bishop of Mainz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]21 Sep 1953[/TD]
[TD]61.51[/TD]
[TD]Reinhard Cardinal Marx[/TD]
[TD]Archbishop of München und Freising {Munich}[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]25 Dec 1933[/TD]
[TD]81.25[/TD]
[TD]Joachim Cardinal Meisner[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of Köln {Cologne}[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]31 Dec 1947[/TD]
[TD]67.23[/TD]
[TD]Gerhard Ludwig Cardinal Müller[/TD]
[TD]Prefect of the Congregation for the Doctrine of the Faith, Roman Curia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]11 Apr 1934[/TD]
[TD]80.95[/TD]
[TD]Karl-Josef Cardinal Rauber[/TD]
[TD]Apostolic Nuncio Emeritus to Belgium[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]20 Feb 1928[/TD]
[TD]87.09[/TD]
[TD]Friedrich Cardinal Wetter[/TD]
[TD]Archbishop Emeritus of München und Freising {Munich}[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]18 Aug 1956[/TD]
[TD]58.60[/TD]
[TD]Rainer Maria Cardinal Woelki[/TD]
[TD]Archbishop of Köln {Cologne}[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Yesu alifundisha kwa mifano ili watu wapate kuelewa.
Hao hapo juu ni makardinali katika nchi ya Marekani wachache wakiwa Vatican na wengi wao wakiwa maaskofu wa majimbo yao, hali kadhalika Ujerumani na baadhi ya nchi zenye makardianli zaidi ya mmoja. Nigeria pia ambayo ipo katika bara la Afrika. List inayofuata ni Makardiali wa Ujerumani idadi kama hiyo nani Mkuu wa kanisa la Ujerumani? Je kwa hoja yako kwamba kardinali ni mkuu wa kanisa kwa nchi ya marekani hii imekaaje?

Biblia inasema msipokuwa kama watoto wadogo ...... ukubali kwamba uelewa wako haukuwa wa kiwango cha ukweli tuanokufunulia sasa. Pengine makosa na udhaifu wa Mwadhama Policarp Cardinali Pengo umefanya tuwafunze wengi ukweli huo, na Pengo mwenyewe pegine anajutia sasa kama lifikiria kuna walei wasiojua aendelee kuwahadaa sasa mambo yako wazi. Mwelewa hawezi kuwa mbishi kama wewe, ila inaonekana kuna kitu ambacho si cha kawaida tunahitaji kukusaidia kuelewa.
 
This is too much..

Sina la kusema zaidi ya kusema hakuna mchungaji bali "mchungacrazy" ambaye mda si mrefu waumini wake watadai chenji yao kama siyo kumfungia mlango
 

hausomeki zaidi ya kuonyesha upofu wako wa kiroho unaokulazimisha kutumia nguvu nyingi kama alivyofanya Gwajima!! anayedhani maazimio ya wao kuitwa askofu basi ndiyo haswa msingi wa uelewa kwa wote, hebu kaa tafakari utwambie kama hiyo ndiyo best approach ya mchungaji kwa aliyekosea.
 
Ninachoanza kuamini hapa ni ule usemi wa mtu mmoja aliyesema afrika hakuna demokrasia bali kuna demokrazy inayopelekea wanasiasa, wachungaji kuchukua nafasi kubwa sana kwa kuwahadaa wananchi kwa ahadi nyingi zisizotekelezeka kama ujenzi wa madaraja hata mahali hakuna mito, na mara mwezi fulani ni mwisho wa dunia nimefunuliwa. kwa nchi yetu haishangazi mambo ya kitaalamu kabisa kupelekwa kiimani/kidini dini tu au kisiasa ndipo baada ya hapo wataalamu wafuate halafu unahoji kwanini bado maskini.
 
Pole mzee Pengo! Ukiamua kuongelea siasa uwe tayari kupokea kila aina ya ushuzi! Kama huwezi kuvumilia mitazamo ya wengine, basi fanya kaz ya askofu achana naya kaizasri!
 
Hata kama Kiongozi wa dini. hadisevu kutamka ujinga kama huo in short he is not a priest but a politician lyk nape
 
Na napata hasira sana kwa jinsi ambavyo Taifa letu linapokuwa na viongozi wa dini kama akina GWAJIMA. HUYU GWAJIMA siyo kama KIBWETERE wa Uganda kweli?
[video]https://m.youtube.com/watch?v=6TuNQOm4NFc&persist_ap p=1&app=m[/video]
 
Inasikitisha sana..

Tokea nizaliwe sijawahi sikia matusi kama yale kwa mtu anayejiita Mchungaji....

Ni maajabu...Ila ndo mmomonyoko wa maadili huo...
 
Inasikitisha sana..

Tokea nizaliwe sijawahi sikia matusi kama yale kwa mtu anayejiita Mchungaji....

Ni maajabu...Ila ndo mmomonyoko wa maadili huo...
Sina uhakika kama Gwajima ni Mtanzania, haijawahi kutokea taifa letu likawa na mtumishi wa Mungu anayetembea na shetani kama Gwajima. Hivi kwa mtindo ule ataacha kuwa alimtafuna mke wa Mbasha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…