This is too much..
IQ yako mpaka imekupeleka kumsupport gwajima, yani ujue umebakiza pointi chache sana uwe chimpanzee
Ukiwa msakiti!! Unaambiwa haya ndio mapendekezo uliyosaini wote tuyafuate lakini wewe hutaki.
Unajitanya ni kada zaidi.
Unajitanya ni hodari zaidi.
Unajifanya unajua zadi uhuru wa mawazo.
Unajifanya imara zaidi.
Unajifanya wewe ni jeuri zaidi.
Msaliti zaidi, UTATUKANWA TUU.
Na mimi nasema atukanwe tu. Mana wote lazima tukubaliane kuwa hii katiba pendekezwa inataka kuligawa taifa kwa sababu CCM walikosa busara wakati utungwaji na sasa inakosa busara zaidi wakati wa kuisambaza,kuandikisha wapiga kura na kutoa elimu.
Eeeh mana sasa tumechoshwa na wasaliti.
Ndugu yangu bugzbunny simuungi mkono gwajima!! Kinachonishangaza na kuniuma ki ukweli kabisa toka moyoni nikiwa mkatoliki!!.Kadinali ameongea mwenyewe kuwa aliletewa waraka akausoma na akaombwa kibali ili kuruhusu usomwe kanisani,naye akaruhusu!!! Kwanini hakuwaambia rekebisheni hili la kuwaelekeza watu muwaache wachague wenyewe!! Yeye karuhusu halafu alivyoenda kwa wawata akatoa maoni yake hicho ndio kinanitatiza!!
Inakuwaje kiongozi mkuu wa kanisa takatifu katoliki uruhusu kitu ambacho hukubaliano nacho kisomwe kanisani???????

sipati picha kama hayo maneno ya gwajima angeyasema Pengo!!
Kwa taarifa yako kuna waraka ulitolewa na kanisa katoliki sikumbuki vizuri ulikuwa unahusu nini.
CCM wakamtuma Kingunge aongee ya kwao against ule waraka na wiki hiyo askofu Mayala wa Mwanza akaded.
Hapo kwenye mazishi na Kikwete akiwepo Pengo alimchamba babu wa watu. Looooo
Hasira ni kitu kingine
Ndugu yangu bugzbunny simuungi mkono gwajima!! Kinachonishangaza na kuniuma ki ukweli kabisa toka moyoni nikiwa mkatoliki!!.Kadinali ameongea mwenyewe kuwa aliletewa waraka akausoma na akaombwa kibali ili kuruhusu usomwe kanisani,naye akaruhusu!!! Kwanini hakuwaambia rekebisheni hili la kuwaelekeza watu muwaache wachague wenyewe!! Yeye karuhusu halafu alivyoenda kwa wawata akatoa maoni yake hicho ndio kinanitatiza!!
Inakuwaje kiongozi mkuu wa kanisa takatifu katoliki uruhusu kitu ambacho hukubaliano nacho kisomwe kanisani???????
Yesu alikua na wanafunzi kumi na mbili lakini mmoja aitwaye Yuda Iskariote ndiye aliyemsaliti kwa sababu ya kujipendekeza kwa watawala wa Kirumi na Mafarisayo.Wakajua wakimpenyezea pesa kidogo atawaunga mkono .
Bila shaka Pengo ni aina ya watu kama Yuda.
Si wezi kumlaumu sana kwa sababu hata Yuda aliyekua amekaa na Yesu lakini aliamua kujitoa ili kulinda heshma yake kwa watawala.
Hata kwenye mchakato wa katiba mpya pengo alisifia na kuunga mkono uchakachuaji na kusababisha haya matatizo yaliyopo ya mvurugano wa watu kuelekea kwenye kupata katiba.
Leo hii mambo ya muhimu yaliondolewa kwenye katiba kwa sababu ya kiburi cha serikali kilichopewa nguvu na kadinali Pengo kwa kujitafutia heshima toka kwa wakubwa wa serikali.
Ndugu yangu. Naombe nikusaidie kwa hili kama linakupa mashaka. Mfano ni mimi hapa sikumkubali mgombea wangu wa Ubunge maana niliona hafai (free will) ila kwa vile wananchi wenzangu walimchagua nimempokea , namkubali na kumtii kama kiongozi wangu halali ( collective responsibility). Askofu Pengo alitumia haki yake ya kutoa maoni (haki ya kikatiba na kiimani) lakini pia alitambua wajibu wake wa kutii tamko la maaskofu. Tamko la walio juu yake (collective responsibility). Kwa unyenyekevu mkubwa alisema. Mimi ni nani hata nikataze kilichoamriwa na maaskofu? Na pia akaruhusu waraka usambazwe na usomwe. Askofu Pengo ni great thinker aliyetumia haki yake kama mtu huru na wajibu wake kwa mamlaka iliyo juu yake kama mwanajamii. Hivi ndivyo alivyofanya mtu mwadilifu. Mtu anayejitambua.huyu anapaswa kama sio kupongezwa basi hata kuheshimiwa. Huu ni mfano wa watu walio huru kifikra. Sio kutukanwa. Sio kudhalilishwa.
Mkuu acha kutafsiri maandiko vibaya. Hizi hapa chini ni facts kuhusu alichofanya askofu Pengo.
1. Ameikosoa serikali kwa kuwaambia wananchi waipigie katiba pendekezi kura ya ndio.maana amesema hakuna mtu mwenye haki ya kumchagulia mtu aina ya kura.
2. Amewakosoa maaakofu kwa mtazamo wa kimaandiko. Alichokisema kuhusu free will ni biblical na wanaompinga wanatumia kanuni nyingine lakini hawampingi kimaandiko.
3. Askofu Pengo ametii tamko la maaskofu na ndio maana aliruhusu waraka usomwe na usambazwe. Ameonesha itikadi yake ya kufuata dhamiri (free will) kwa vitendo. Maana angekataa usisomwe angeenda kinyume na anachokipigania.
4. Askofu Pengo sio Mungu hivyo ana haki ya kukosea. Na mtu
akikosea hatukanwi. Nani hakosei?
5. Askofu Pengo ni mwananchi na ana haki ya kuwa na maoni kama wengine. Kumzuia asiwe na uhuru huo ni kumnyima haki yake kikatiba.
So usaliti wa Pengo uko wapi? Nani anayesema hana haki ya kuwa na maoni binafsi?
hausomeki zaidi ya kuonyesha upofu wako wa kiroho unaokulazimisha kutumia nguvu nyingi kama alivyofanya Gwajima!! anayedhani maazimio ya wao kuitwa askofu basi ndiyo haswa msingi wa uelewa kwa wote, hebu kaa tafakari utwambie kama hiyo ndiyo best approach ya mchungaji kwa aliyekosea.