Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Aisee Hapo kwenye red inaonyesha ww ni mjukuu wa Pengo aisee!! Wapi kwenye tamko kuna kulazimishana? Yaani "Mapengo" mko wengi kumbe
 

Acha kumshabikia yule mhuni
 
Kama kweli Gwajima ni askofu basi kakosa hekima, yeye kama hakulidhika na hayo aliyosema Mwadhama Kardinari Polyikapi Pengo ilikuwa ni kuongea naye kama askofu mwenzake. Lakini hivi alivyofanya kweli kajidhalilisha mwenyewe.
 
Kama kweli Gwajima ni askofu basi kakosa hekima, yeye kama hakulidhika na hayo aliyosema Mwadhama Kardinari Polyikapi Pengo ilikuwa ni kuongea naye kama askofu mwenzake. Lakini hivi alivyofanya kweli kajidhalilisha mwenyewe.

Binafsi silichukulii maanani hili tamko la Gwajima, tujaribu kutofautisha kikundi cha watu ambacho yeye ndiye kichwa na kila kitu kwa kikundi hicho huwezi kulinganisha na mfumo wa kitaasisi kama kanisa katoliki. Hakuna wa kumwajibisha katika kikundi chake kwa kuwa ndiye alfa na omega, wakati Pengo sisi waamini na hata intelijensia ya Vatican imeshammulika na pengine wameshampa maangalisho. Sioni sababu ya kuhangaika na Gwajima.

Hawa akina Kova wanahangaika kumshinikiza Gwajima kwa masilahi ya matumbo yao badala ya sisi watanzania.

Gwajina angemtukana hivyo mmoja anayetetea au kusimama upande wa ukawa angepongezwa na pengine kuteuliwa kuingia bungeni kama bonus. Mnakumbuka askofu aliyesema Kikwete ni chaguo la Mungu kapata gawio la pesa za ESCROW?
 
duh ! balaa kama hii audio ni ya kweli bas niupuuzi mtupuuuu eti maharageeeee
 

UFUATAO ni ujumbe mfupi wa Muadhama
Polycarp Kardinali Pengo alioutoa leo katika
Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam
kuhusiana na waraka wa maaskofu uliotolewa
hivi karibuni kwa Wakristo nchini
kujiandikisha kikamilifu na kisha kuikataa
Katiba Inayopendekezwa wakati wa kura ya
maoni kwa vile haikujadiliwa kiuadilifu.
"Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamulia/
kuwalazimisha waumini wetu wafanye
uamuzi gani kuhusu katiba, kuwaamulia ni
kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi
sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao.
Waraka huu unaleta utengano katika taifa
kuwa Wakristo, tumechukua uamuzi dhidi ya
serikali na wengine....
Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa
tafakari yao binafsi bila shinikizo letu.....
Wakati hili linajadiliwa nilikuwa Italy katika
kusimikwa makardinali na baadaye India,
wengine wakavumisha nimelazwa,..wengine
nimefariki, lakini namshukuru Mungu hizo ni
dua za kuniongezea maisha marefu na afya
(makofi).
Nililetewa waraka nikausoma, umepitishwa
baada ya tafakari kubwa nauheshimu. Lakini
nadhani tuwaache waumini wafanye uamuzi
kwa uhuru baada ya kutafakari....
Si sahihi tukaenda katika katiba kama
Wakristo kwa shinikizo la kupinga katiba...
Wawe huru anayepinga kwa hiari yake
anayekubali kwa dhamiri yake....
Sidhani kama viongozi wa dini sasa tuna amri
ya kulazimisha uamuzi juu ya katiba....
Hivi kila dini ikianza kuchukua misimamo
kuhusu mambo ya kisiasa Tanzania
itabaki???
 
Ni kama vilevile ambavyo
Warioba hakumjibu
marehemu kapteni Komba.
 

Bangi mbaya!
 

Siezi sema gwajima hakumtusi, nilichofurahi ni kumpa cash zake, ajue kuwa ajipange, uaskofu wa katoliki si umungu Mtu, zamu hizo zinaisha. Wawe rohoni si liturujia tu
 
Tunafunzwa kusamehe uko polic kwa kazi gan tena jaman wakristu wezangu hii imekaaje??
 
I agree with u 100%
Gwajima hamnazo

ila kweli gwajima kazidi yaani mzee pengo avae nepi na pampasi hii mbaya sana.lakini avae tu kwanini nini .afungwe nep tu gwajima hongera
 
Mliokuwa mnafuatilia nadhani mnajua mpaka sasa nani mshindi. Nani anaonyesha anazungumza kama kiongozi wa Kiroho na nani anazungumza tofauti. Jibu mnalo. Viongozi wa Kiroho walikosea kutufanya sisi waumini kama Robot, kuwa kongozi wa kiroho haina maana uwaamulie waumini kila unachokiona wewe kinafaa hii siyo sawa hii ni taswira ya watu wenye siasa kali na brain washers. Katika jamii huru kila mtu ana uhuru wa kuabudu, kutoa maoni yake kuchagua kiongozi au chama anachokipenda. Tuamke tusirudi kwenye ujima tujitambue huna sababu ya kupiga au kusupport bila nguvu ya hoja toa hoja siyo hoja ya nguvu.
 
hahaa GWAJIMA KAVAA pampers mwenyewe sasa, maana tunajua hana uwezo wa kwenda chooni, duh Mungu akitaka kukuonyesha anakuonyesha fasta. Alafu kwanza lifungwe kwa kudanganya watu linafufua miskule. Chawi tu, sasa Mungu anali punish shetani mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…