Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Kwa hiyo ngabu unamuunga mkono bashite katika tuhuma zinazomkabili..... Coz naona tofauti yako na ngwajima itakuwa ni kwa sababu tu amemuattack DB

Ninachokiunga mkono ni ukweli na haki tu.

Kama Makonda kafoji vyeti na aende jela.

Mpaka sasa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kwamba ni kweli kafoji.
 
Unataka ushahidi gani ngabu,.... Kwa serikali hii namna inavyoendeshwa na kwa jinsi lilivyo zungumzia hili swala ni ushahidi tosha.... Mamlaka za uteuzi ifanye finishing wamle kichwa.
 
Nyani mbona umeleta mambo ya zamani ?! Nikidhani una hoja ktk zama hizi za KOROMIJE kumbe !!
 
juzi umeomba mwenye ushahidi ajitokeze!
haya gwajima amemtafuta mwalimu wake, maajabu zaidi jana mpaka leo unapiga kabla hata hujasikia huyo mwalimu anazungumza nini!
 
Unataka ushahidi gani ngabu,.... Kwa serikali hii namna inavyoendeshwa na kwa jinsi lilivyo zungumzia hili swala ni ushahidi tosha.... Mamlaka za uteuzi ifanye finishing wamle kichwa.

Mi nautaka ushahidi aliosema Gwajima anao.
 
juzi umeomba mwenye ushahidi ajitokeze!
haya gwajima amemtafuta mwalimu wake, maajabu zaidi jana mpaka leo unapiga kabla hata hujasikia huyo mwalimu anazungumza nini!

Mwalimu sio ushahidi.
 
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.

Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.

Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.

Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.

Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.

Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].

Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.

Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.

Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.

Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!

Hata wewe ungekuwal smart kichwani usingediriki kufanya kaxo hiyo ya kuwatawaza wazungu huko utumwani marekani
 
Hayo hayatuhusu tunachotaka kujua kweli Makonda ni Bashite???????.......
Mbona hukumjadili Gwajima huko nyuma umekurupuka leo
 
Mwambie Bashite atoe vyeti vyake kuendelea kumtetea ndo mnazidi kumuangamiza.
 
Mimi mara ya kwanza na pekee nimemsikia Gwajima akiongelea suala la Bashite/Makonda kwenye clip iliyorekodiwa kutoka kanisani kwake. Binafsi sikufikiri hata kama alimaliza elimu ya sekondari, kwa namna alivyokuwa tu akiongea, ila pia siwezi kupuuzia tuhuma alizotoa.
 
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.

Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.

Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.

Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.

Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.

Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].

Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.

Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.

Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.

Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!

Tokea Gwajima amchane makonda nimekuwa nakufatilia sana kila thread yako una mshambulia Gwajima kisa kamgusa Ngosha mwenzio acha chuki zisizo na maana haya ungekuwa wewe umesingiziwa kwamba ni drug dealer ungejisikiaje vile
Hata askofu nae anahisia kama binadamu wa kawaida waache wenyewe washambuliane
 
Unajua huyu jamaa anayeitwa Askofu au sijui mchungaji Gwajima nilikuwa sijawahi kumfuatilia kwa ukaribu hivyo sikuwa najua mengi juu yake.

Lakini tokea haya mambo ya ile taja taja ya wahusika wa madawa ya kulevya ndo kidogo kidogo nikaanza kumfuatilia.

Eti naye anajiita ni dokta. Yaani ana shahada ya uzamifu. Shahada yenyewe kaipatia kutoka chuo kiitwacho Omega Global University.

Vichekesho! Omega Global University ni diploma mill! Chuo hakina hata accreditation ya maana.

Tuachane na hayo ya 'PhD' yake. Tuje kwenye mwenendo na mdomo wake.

Baada ya kuiangalia hii video sasa naelewa ni kwa nini alidai anavyo vyeti vya Paul Makonda ofisini kwake [which was dumb].

Hebu sikiliza hayo maneno aliyoyaongea kuhusu Kadinali Pengo. Eti huyo ndo askofu. Askofu mwenye wafuasi tele.

Huyu mtu hana credibility yoyote ile. Ni msanii tu. Alifaa awe kwenye tasnia ya akina Omari Tego na akina Mwinyi Mkuu. Huko kwenye utumishi wa mungu anafanya utapeli tu.

Awali nilikuwa sielewi kwa nini anafanya hivo anavofanya ila sasa nishaelewa.

Ila hao wafuasi wake nao hmm....kaazi kweli kweli yaani!

Wewe mchochezi! kuleta clip ambayo inatukana watu ni kosa kisheria.
 
Wafuasi wa gwaj ...unatokana na udhaifu wa serekali kutopeleka watu skuli...laiti watu wangalisoma na kuwa na proper reasoning ....nadhani kanisani kwake angelibaki na viti tu..
 
Mbaya zaidi huyu bwana gwajima ni mchukua eake za watu...katika wachungaji walopata aibu n huyu gwajima kitendo cha kumchukua flora mbasha mke wa mtu na kuvunja ndoa yake..bwana gwajima hujita yeye anafufua watu lakn cha ajabu ndan ya ukoo wake wanakufa anashindwa kuwafufua...watumish wake wanakufa anashindwa kuwafufua...gwajima anakula pesa za wahumin wake kwa kujengea majumba yake ya kifahari....huku akijisifia kununua tren kwa pesa ambazo za kanisa...kama wasukuma wanapenda sifa na wajinga bac gwajima ni rais wa wajinga na wapumbavu...nlimuona kichaaa kuweza kumtukana pengo...hao waislam hawajawah mtukana kiongoz wa kidin huyu gwajima kwel ana matatzo ya akil
 
Back
Top Bottom