Mimi nimesoma Nilikuwa mshabiki sana WA Gwajima niliacha nilipokutana na Mchungaji WA assemblies of God niliyesoma naye sekondari akanifafanulia Zaidi ya masaa manne kuhusu imani ya Gwajima na ahadi zake hewa za kurubuni waumini dhaifu nikaelewa nikaamdharau Gwajima. Anatumia siasa kujaza waumini kanisani Wakisema tunaenda kanisani kwa gwajima siku akifa na kanisa linakufa liwe LA mwingira gwajima lusekelo kwa katunzi kwa lwakatare nk waanzilishi wakifa na kanisa linakufa. Anyway yule Mchungaji wa TAG alibi convince. Naamini utapeli wa kutapeli waumini kuwa unanunua treni na kujenga reli nk una mwisho sio kila mwenda kanisani anataka treni au reli kanisani nikiwemo mimi