Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Ina maana uko tayari kumpa kura yako?Leo nimeyakubali maneno ya gwajiboi dhidi ya askofu.
Ina maana uko tayari kumpa kura yako?Leo nimeyakubali maneno ya gwajiboi dhidi ya askofu.
Tutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.Poa we mtetee sisi tutamboa mkosa haya na mtaka kuuteketeza uislamu
Nitajie mtu mmoja aliefanikiwa kumfufuaTutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.
P
Okay, mmerekebisha hilo la kumtukana Pengo. Sasa rekebisheni hilo la kubadili zile Madrasa kuwa Sunday Schools. Lakini pia marekebisho hayo yafanyike hadharani kama ambavyo yale matusi yalivyotolewa hapo awali. Ila kilichogunduliwa hayo marekebisho yamechelewa sana na yana nia ya kuliokoa jahazi ambao linakwenda mrama. The apology isn't sincere, its aimed at political agenda and election results in mind.Tutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.
P
Akikutajia nitag tafadhali.Nitajie mtu mmoja aliefanikiwa kumfufua
Amefufua wengi, na hata Kawe ni kama imekufa, Gwajima ataifufua.Nitajie mtu mmoja aliefanikiwa kumfufua
Mkuu!, wewe una akili sana. Ila tafadhari, usijitoe ufahamu kwa ushabiki wa kichama.Amefufua wengi, na hata Kawe ni kama imekufa, Gwajima ataifufua.
P
Mtu mzima kama wewe kuandika upumbavu kama huu ni aibu kwa wajukuu zako.Tutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.
P
Nakuomba sna Kaka yngu unipe JIBU langu TATIZO ni nn Ukabila Njaa kweli Udini au nn...Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Aisee! Account yako wamei hack au?!Amefufua wengi, na hata Kawe ni kama imekufa, Gwajima ataifufua.
P
Ubongo unakataza hisia zangu kuamini kwamba,maneno haya yanatoka kwako P, hii ni kutokana kwamba Mimi ni shabiki wako sana toka ukiwa Channel ten.Amefufua wengi, na hata Kawe ni kama imekufa, Gwajima ataifufua.
P
Hii ndio rangi halisi ya Pascal Mayalla mwanzo alikua anajifanya kinyonga kwa kubadilisha badilisha rangi yake ila sasa kaamua kuweka hadharani kwamba yeye sio kinyonga bali ni mjusi mwenye rangi moja.Tutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.
P
Kumbe pascal mayalla ni MSUKULE..!Tutakapo rekebisha la kumtukana Pengo, pia tutarekebisha hilo la Waislamu, ila kiukweli Kawe, Waislamu hata misikiti ni ya kuhesabika, sana sana high concentration ya Waislamu ni maeneo ya squatters za Kawe kama Ukwamani, lakini dominant areas ni Wakristu, tatizo la Kawe, idadi kubwa ni the elites, ambao hawakubali kuletewa ujinga ujinga, siku zote CCM imekuwa ikiwateulia watu wajinga wajinga, wakampa Halima twice, hivyo this time wametuletea mtu wa Mungu mwenyewe tena Askofu mwenye nguvu kama za Yesu Kristo za kufufua watu, hivyo sasa Kawe inakombolewa na Mungu mwenyewe kupitia kwa mtumishi wake Askofu Gwajima.
P
Ndugu usipoteze mda wako na huyu popompo mchumia tumboUbongo unakataza hisia zangu kuamini kwamba,maneno haya yanatoka kwako P, hii ni kutokana kwamba Mimi ni shabiki wako sana toka ukiwa Channel ten.
Kwamba Paschal ninayemshabikia Mimi,anaweza kuthamini mwanasiasa na kumpotezea kiongozi wake wa kiroho? hapana siyo kweli,
Paschal hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho.
P hawezi kudanganywa na unafiki,wizi,umalaya na uongo wa Wachungaji kama Gwajima siyo Paschal huyu.
Kwanza, Paschal Mayala hana ukabila,tu kwa sababu Gwajima ni msukuma mwenzie amuunge mkono mtu ambaye kwa unafiki anakula matapishi yake,kwamba hawezi kugombea ubunge,kwa kuwa Uaskofu wake ni zaidi ya ubunge,lakini leo kaamua kumkana Mungu na kukimbilia ya Duniani.,Gwajima ambaye alijaribu kutaka kuunda kikundi cha kikabila,hadi akakemewa na vyombo vya usalama.
Mimi naomba TCRA wachunguze hawa wanao hack mitandao ya wenzao,kama walivyofanya kwa rafiki yangu Paschal.Na wewe mwenyewe jitokeze ukanushe hicho kilichoandikwa.Mimi imeniuma sana
Teuzi za kujipendekeza baba zinawaniwa kwa fujo term ya pili kabla ya 2025 ambapo mkanda ya ziwa atakapofungasha virago, considering 28 oct ndugu yao huyo atashinda.Hii ndio rangi halisi ya Pascal Mayalla mwanzo alikua anajifanya kinyonga kwa kubadilisha badilisha rangi yake ila sasa kaamua kuweka hadharani kwamba yeye sio kinyonga bali ni mjusi mwenye rangi moja.
Long time this dude was!🤭Kumbe pascal mayalla ni MSUKULE..!
Futa UTOPOLO wako hapa.
[emoji56][emoji56][emoji56]Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Mkuu Tripo9 , nimefarijika sana ulipousema ukweli bayana kuhusu October 28, ni nani atashinda kwa kishindo!, maana humu jf, kuna watu kibao wanaota ndoto za mchana kweupe kuwa...ambapo mkanda ya ziwa atakapofungasha virago, considering 28 oct ndugu yao huyo atashinda.