vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,853
- 2,272
Asili ya Cardinal Pengo ni Sudan Kusini na ana ndugu zake kule maana Tanganyika walikuja enzi za wamisionari
Inaelekea mtume Tito
Asili ya Cardinal Pengo ni Sudan Kusini na ana ndugu zake kule maana Tanganyika walikuja enzi za wamisionari
Usiseme sisi sema mimiMwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
Alifanya Kosa sana hakikaMwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
Huyo ndie chaguo la Ccm Kawe hivi ni Mkatoliki gani anae mheshimu Pengo ata mpa huyu mhuni kura? Ni Mkristo gani ata mpa huyu mzee wa makando kando kura. Ccm mme bugii... Kama mlivyo buggii Siha.. ATTACH=full]1543301[/AMwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
Msaka tonge mmoja hivGwajiboy
Kwa hivyo akiruka juu ma bodyguard nao wanaruka!?Huyo ndie chaguo la Ccm Kawe hivi ni Mkatoliki gani anae mheshimu Pengo ata mpa huyu mhuni kura? Ni Mkristo gani ata mpa huyu mzee wa makando kando kura. Ccm mme bugii... Kama mlivyo buggii Siha.. ATTACH=full]1543301[/A
Utapeli una shida zakeKwa hivyo akiruka juu ma bodyguard nao wanaruka!?
This is too much..
SIKU chache baada ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat Gwajima kumtusi Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, Polycarp Kardinali Pengo, taarifa nyuma ya pazia zimeeleza kuwa mchungaji huyo ametumwa na kikundi cha watu fulani, Uwazi Mizengwe linakupa mchapo kamili.
Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake Jumapili iliyopita ambapo ‘alimtusi’ Pengo akituhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na Taasisi ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kwa kuwataka waumini waisome Katiba Inayopendekezwa kisha wapewe uhuru wa kupiga kura ya “ndiyo” au “hapana” tofauti na vyombo hivyo vyenye dhamana ya kuongoza dini ya Kikristo vilivyotaka waumini waipigie kura ya “hapana” Katiba Inayopendekezwa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Gwajima ametumwa na kikundi cha watu ambacho kinaunga mkono hoja ya kukataa Mahakama ya Kadhi kama ilivyokataliwa na vyombo hivyo vyenye dhamana ya kuongoza dini ya Kikristo hivyo kumpinga Pengo ambaye wanaamini anatetea suala la Mahakama ya Kadhi liruhusiwe.
“Gwajima anatumika tu anamkashifu Pengo ili kumchafua na asiweze kusimamia hoja yake ya kuwaacha wapigakura waamue wenyewe kuikubali au kuikataa Katiba Inayopendekezwa wakiamini watu wanaweza kuipigia kura ya “ndiyo” na suala hilo likajadiliwa wakati wenzake wamelipinga,” kilisema chanzo hicho.
Kama hiyo haitoshi, chanzo hicho kilizidi kudai kuwa, Gwajima ametumika kumchafua Pengo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuhofia huenda akawa na upande wa mgombea ambaye anampigia chapuo ili apitishwe.
“Siyo tu kuhofia Mahakama ya Kadhi, Gwajima ametumika kumchafua Pengo kwa hofu kuwa huwenda akawa ana mgombea wake anayemtaka awe rais,” kilisema chanzo hicho.
Kwahiyo askofu wako unakubali atukanwe kijinga?Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Mkuu Kushina cha Mshahara, mbona nimeongea wazi kabisa kuwa siungi mkono kauli za Gwajima dhidi ya Mwadhama Polycarp, Kardinali Pengo, na tena sio hivyo tuu, humu jf hata huo Uaskofu au Uchungaji wa Gwajima nina mashaka nao kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli au ni mtumishi wa mungu tuu!,Kwahiyo askofu wako unakubali atukanwe kijinga?
Poa we mtetee sisi tutamboa mkosa haya na mtaka kuuteketeza uislamuMkuu Kushina cha Mshahara, mbona nimeongea wazi kabisa kuwa siungi mkono kauli za Gwajima dhidi ya Mwadhama Polycarp, Kardinali Pengo, na tena sio hivyo tuu, humu jf hata huo Uaskofu au Uchungaji wa Gwajima nina mashaka nao kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli au ni mtumishi wa mungu tuu!,
Lakini nikasema kwenye politics hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, maadam sasa mimi ni mwana CCM, na Askofu Gwajima ndiye aliyepitishwa kuwa mgombea wetu Kawe, then ninawajibu sio tuu wa kumuunga mkono, bali kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa na kumnadi!.
Kwavile tayari hizi kauli zake za kiajabu ajabu zipo na zitatumiwa na wapinzani wetu kum discredit kwa wapiga kura wa Kawe, this is where I will come along to mitigate this, dilute them, neutralising them and turn them into harmless comments before kampeni hazijaanza, ili by the time wenzetu wanakuja kutaka kuzitumia against us, wanajikuta, they are nothing at all!.
Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa?, Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible tangible Deliverables vs The Empty Promises?
P