Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Msimamo wangu uko palepale hauyumbi wala haubadiriki, Pengo ni mnafki tu period.

isitoshe kwangu muhimu ni report ya CAG, IMF, na kuachiwa watu waliotekwa. Hizo filamu zenu mnazotengeneza Holly wood mtajuwana wenyewe.
Sawa bosi ila nami nakuunga mkono kwenye hayo mengine isipokuwa matusi ya gwajima kwa pengo. Kusapoti hayo matuai ni sawa na kusapoti kutekwa kwa ndugu zetu kisa ni wakosoaji hilo si sawa. Badala yake tufuate mfumo wa kisheria katika kutoa uhukumu kwa wanaotukosea.
 
Huyo unayemuona wewe ni mkosowaji mimi macho yangu yanaona matusi anayoandika mtandaoni kwa verified ID.
 
Hawa ndio "maaskofu" wa siku za mwisho, badala ya kusamehe yeye ndio kwanza anatangaza vita.
 
Mnaompinga magufuli mnapata tabu sana Jf.thread nyingi mpaka tunashindwa kusoma zote
 
Asili ya Cardinal Pengo ni Sudan Kusini na ana ndugu zake kule maana Tanganyika walikuja enzi za wamisionari
 
Back
Top Bottom