Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

Audio: Americans Describes Kikwete As A Tyrant, 93.1 WIBC USA interview with Dr. Slaa

Sio suala la kuunga mkono au lah. Kwanini akubali kufanya mahojiano nao in the first place?

Heeh! Kumbe kweli hamnazo! Hujui hata ile methali "Baniani mbaya kiatu chake dawa"
Hujui hata boko haram wanasema kila ki2 cha magharibi ni haram lakin silaha wanazotumia, nguo wanazovaa, mawasiliano nk zote zinatokana na technolojia ya magh.
 
Hiyo ni radio ya kanisa na inayotetea masuala ya Ushoga nchini Marekani.

NOTE:
Greg Garrison is one of the most conservative talk show hosts in the United States. He does not condone same sex marriage and respective the Institution of Marriage.


Gary respects God's creation, and doesn't in any way support Same SEX Marriage. This radio station is not affiliated with any religious institution as some may want to say. It is a secular, independent and privately owned


Thanks
Ron Tackket
 
Radio ya kanisa wala si serikali ya marekani.
 
HAMY-D

Acheni uongo uliojaa uchochezi, hakuna sehemu ambayo Dr. Slaa kamsema vibaya JK. Mimi nimesikiliza mwanzo hadi mwisho. Alichosema Slaa ni ulaghai wa jumla uliofanywa na CCM mwaka 2005 kwa kuahidi kuanzisha mahakama ya Kadhi kitu ambacho CCM kwa ujumla wake hadi leo wanawahadaa waislamu.

Ila kuna msikilizaji mmoja (Mmarekani) ambaye amewahi kuishi Nairobi alisema Rais JK ni kama tyrants wa nchi zingine ambao wanazuia mawazo ya watu wengine (kufungia social media/ freedom of speech or expression) kwa kufungia ----------- pamoja na Citizen newspapers. Dr. Slaa ali-refer statement aliyoitoa Rais JK akiwa Rwanda kuwa ----------- walifungiwa kwa sababu ya habari (siri) za kijeshi zilizoandikwa kwenye gazeti hilo wakati kwa Tanzania zinatolewa sababu zingine ambazo hasihusiani na mambo au siri za kijeshi.

Mambo ya ushoga hayajaongelewa kabisa, sasa christians ambao ni conservative waka-support ushoga? Tukisema JF siku hizi ni kama Facebook (credibility isn't necessary) watu wanashangaa. Digital media imefanya dunia kuwa kijiji and you can listen to anywhere hata kama uko kijijini as long as una MB za kutosha.

Get the truth straight
 
Last edited by a moderator:
Chadema Diaspora
Bomba ya Blow kwa CCM..watashika lipi?Ndio wammshtua zitto awahi kuponda marekani?Sasa si ndio anwaambai watz nini kinafanyika marekani sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
HAMY-D

Imebidi nisikilize maojino ya dr. Slaa mwanzo mwisho.
Usije humu na kuleta habari za uongo kama ulivyoandika hapo juu.
Omba msamaha kwa uongo na uchochezi, unatahili kupigwa ban.
Kama hujui kingereza tafuta mkarimani ukutafsire.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa kisiasa wajifunze kuweka heshima na hadhi ya nchi mbele.

Kwa mfano Marekani, wakiwa ndani ya nchi yao watapingana sana ikiwamo masuala ya siasa za nje, republican watamsema Obama kamakuhusu kuuawa kwa balozi nchini Libya, kuhusu Russia, kuhusu Ukrain, kuhusu Israel na kadhalika ni sawa pia na Obama pia alivyokuwa anamsema Bush alipokuwa madarakani kuhusu vita vya Iraq kwa mfano.Hii ni jadi ya kawaida kwenye siasa.

Lakin mwanasiasa mkubwa mwenye nafasi ya kuwa Rais akitoka nje ya Marekani anabadilika ghafla, akitoka nje y nchi nae ni Mmarekani, anawajibu wa kulinda heshima ya nchi yake, ndio jadi ya kisiasa, taifa kwanza, siasa zetu ni ndani ya mipaka ya nchi yetu, nje ya mipaka sisi ni Watanzania, ni wajibu wetu kulinda hadhi na heshima ya Mama Tanzania.

Hivyo kama Dr Slaa ameunga mkono hayo ameidharirisha nchi yake na amejishushia hadhi yake pia mwenyewe.Nchi yetu Kwanza
 
Waongo wakubwa hao, yaani wanawajaza ujinga na nyie mnakubali. Tyrant wangempokea kwa shangwe na kila siku White house na kukaribishwa kila kona. JK ni mtu wao na kifupi CCM ndio chama wanachokitambua, hivi ni kuwachota akili wajue mbinu zenu halafu CCM wanapewa mikakati dhidi yenu. Mmarekani anaweza hata kuwauzia silaha huku na huku mkapigana wenyewe yeye anajali biashara na maslahi yake mbele, hana rafiki isipokuwa Israel .
 
Kwa wenzetu kwenda kufanya siasa za kukandia kinachofanya na nchi yako ni aibu ni kujishushia heshima na hadhi ya kuwa Rais.

Jambo kama hilo lilimpata Mitt Romney mwaka 2012 kwa kuonyesha kumshutumu Rais Obama akiwa nje ya Marekani, ni kosa kubwa

Refer hapa: Romney foreign policy attack was disgraceful
Romney foreign policy attack was disgraceful - CNN.com


"Partisanship ought to end at the water's edge" is a longstanding adage of American politics.

Na hapa Romney alikuwa mwangalifu kutosema mabaya na nchi yake;http://www.cbsnews.com/news/mitt-romney-meets-uk-leaders-ahead-of-london-fundraiser/

"While I'm on foreign soil, I'm very careful not to be critical of my own government's policies," said the presumptive Republican nominee. "I would be even more remiss if I were to be critical of any other government's policies. I will instead look forward to an exchange of ideas."


TOFAUTI ZA KISIASA ZETU ZIISHIE MPAKANI, NJE YA MPAKA KILA MMOJA AENDE AKIIWAKILISHA TANZANIA,NCHI YETU SOTE, HADHI YA TANZANIA NI MUHIMU ZAIDI KULIKO SIASA ZETU. HUKU NDIO KUKUA KISIASA KUFANYA VINGINEVYO HATUAIBISHI NCHI TU BALI TUNAJIAIBISHA WENYEWE
 
Mtangazi au ni slaa anasema anaunga mkono ndoa za jinsia moja,au nimesikia vibaya?
 
File:Showcasestudio1.jpg
.
Redio ya mtaani kule indianapolis.
 
Kapwela
Kapwela, kwa maoni yako haya ni wazi huijui Marekani wala siasa zake. Juzi maseneta wa chama cha Upinzani Republican wamemwandikia barua kiongozi Mkuu wa Iran wakimtahadharisha kukaa chonjo na Raisi wao Obama kwa sababu eti haaminiki; je hii ingewezekana Tanzania bila watu kukamatwa na kuwekwa ndani bila kujali nafasi zao ndani ya Upinzani.

Mambo yanapofikia hapa ndipo wengine tunapobaki tumeduwaa na kuanza kujiuliza; hivi wengine wetu mnaishi katika sayari gani? Wakati Raisi wao Obama analihutubia taifa, mjumbe moja wa Congress alimwita muongo na hii ilishuhudiwa na wananchi wote waliokuwa wakifuata hotuba hiyo, je itakuwaje siku Kikwete anaitwa muongo live wakati anahutubia taifa kupitia bunge?

Hiyo ndiyo Marekani Kapwela na si hiyo unayofikiria ukiwa kibarazani kwako Kariakoo na kikombe chako cha kahawa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom