Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

hata kazi pale crdb inawezekana aliipata kwa kimemo cha mheshimiwa tu, hawa wote vichwa tikiti hawa....wanajigamba kumiliki bunduki tu japokuwa wao si jeshi!!. Ukiwatenganisha na vyeo vyao huwa yanakuwaga mambumbumbu tu hayo
 
Emma WA CRDB alikuwa akimtumia SMS za vitisho ndio akaamua aende nae hewani amrekodi.
Sms za vitisho mbona ni ushahidi tosha kwa polisi? Inawezekana Ima akili ya kisiasa hana hivyo katumika kwenye vita vya kisiasa vya kumwangusha dada yake na yeye kama pulizo lililofunguka kamba ya kuzuia upepo likiwa hewani akakurupuka.
 
Hakuna vita yoyote ya kisiasa dhidi ya huyo Gekul , ni ulevi wa madaraka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…