econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wabongo mnapenda umbea sana
Unaongea Kama nani? Wewe ni mkenya?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo mnapenda umbea sana
Anasema kwenye kampeni za chadema walikua wana amsha amsha kwa mapanga na marungu [emoji1787]
Emma unamjua lakini?!Acha upumbavu wewe, wote wapo CCM. Na hapo anadai wakati wa kampeni za 2020 walitumia mapanga dhidi ya CHADEMA. Hujaelewa nini?
Na Wote tunapenda CCM na Viongozi wake
Amsha amsha za ChademaCCM aka Chupa Party.
Emma unamjua lakini?!
😂😂
Sms za vitisho mbona ni ushahidi tosha kwa polisi? Inawezekana Ima akili ya kisiasa hana hivyo katumika kwenye vita vya kisiasa vya kumwangusha dada yake na yeye kama pulizo lililofunguka kamba ya kuzuia upepo likiwa hewani akakurupuka.Emma WA CRDB alikuwa akimtumia SMS za vitisho ndio akaamua aende nae hewani amrekodi.
Ungemjua ungetulia KabisaUsiniulize maswali ya kijinga.
Lazima wabamizwe...Familia imeingia kwenye mfumo
Ungemjua ungetulia Kabisa
Vinginevyo utakuwa kama tutusa tu asiyejua draft!
Kama tuu mtu akiwa na m10 benki anaweza kutetemesha polisi na kuhangaisha watu sembuse hii familia yenye naibu waziriHaina nguvu yoyote,wamelewa madaraka aliyokuwa nayo dada yao
Ova
Hakuna vita yoyote ya kisiasa dhidi ya huyo Gekul , ni ulevi wa madaraka tu.Sms za vitisho mbona ni ushahidi tosha kwa polisi? Inawezekana Ima akili ya kisiasa hana hivyo katumika kwenye vita vya kisiasa vya kumwangusha dada yake na yeye kama pulizo lililofunguka kamba ya kuzuia upepo likiwa hewani akakurupuka.
Umeshapanic 😂Unaelewa maana ya kumjua mtu. Niondokee mambo yako ya kishoga.