Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Anajaribu kuhamisha mjadala ila wadau wamempuuza.. johnthebaptist yeye amekomaa na CHADEMA na Mbowe katikati ya uhalifu huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajaribu kuhamisha mjadala ila wadau wamempuuza.. johnthebaptist yeye amekomaa na CHADEMA na Mbowe katikati ya uhalifu huu!
Inawezekana pia.Hakuna vita yoyote ya kisiasa dhidi ya huyo Gekul , ni ulevi wa madaraka tu.
Mbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lakeVijana tupunguze bangi, sio nzuri kwa afya ya akili.
Hahaha......ila hawa wamefikia hiyo stage ya kutaka kuuana kabisa.Undungu wa kufanana na sio kufaana. Huwezi kutishia kumuua ndugu yako.
Wewe ni Kama wale tu. 2020 Pauline aliwakilisha Chadema?? Umemsoma Imma alikuwa akimaanisha nn na wakati gani. Uwe unasoma habari na kuielewa usikimbilie kwenye comments za watu.Mbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lake
Aisee wazo lako zuriAdhabu ni ileile aingiziwe na yeye chupa...
Una hamu na chupaMbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lake
Hapa tayari kamhukumu aada yake. Kama akipelekwa mahakamani ushahidi upo wazi.Duh
"Unakumbuka amsha amsha za Chadema tulitumia Mapanga na Marungu?"
"Kuwa kama mchagga wewe "
"Ulishawahi kuona mchagga anamuangamiza mchagga mwenzake hata kama amekosea?"
😂😂😂😂😀😀🔥
Jamaa mjinga sana. Wasanii, viongozi na watu wengine maarufu waelewe zama zimebadilika. Social media zina nguvu ya kutisha. Yaani ishu yako ikishaingia tu kwenye social media umekwisha. Ni hatari kuliko polisi. Yaani kwa wakati tuliopo ni bora ishu yako iende polisi direct kuliko ianzir kwenye media. Huyu Emanuel Gekul ni mshamba bado yuko nyuma ya muda.Jamaa anaongea tu anaonekana mshamba,hana exposure boya fulani tu
Huwezi kulopokalopoka hivyo
Ova
Huyo jamaa ndio kakosea. Kutishia watu kisa kasambaza video za huyo kijana akilalamika kuteswa na Mbunge wa Babati Mjini.
Kuna watu wengi tu wako CRDB na kichwani wanafanana na huyo.Halafu huyu jamaa mbona inaonekana kichwani hamna kitu. Huko CRDB anafanyaje kazi?