Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Mbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lake
Wewe ni Kama wale tu. 2020 Pauline aliwakilisha Chadema?? Umemsoma Imma alikuwa akimaanisha nn na wakati gani. Uwe unasoma habari na kuielewa usikimbilie kwenye comments za watu.
 
Duh

"Unakumbuka amsha amsha za Chadema tulitumia Mapanga na Marungu?"

"Kuwa kama mchagga wewe "

"Ulishawahi kuona mchagga anamuangamiza mchagga mwenzake hata kama amekosea?"

😂😂😂😂😀😀🔥
Hapa tayari kamhukumu aada yake. Kama akipelekwa mahakamani ushahidi upo wazi.
 
Jamaa anaongea tu anaonekana mshamba,hana exposure boya fulani tu
Huwezi kulopokalopoka hivyo

Ova
Jamaa mjinga sana. Wasanii, viongozi na watu wengine maarufu waelewe zama zimebadilika. Social media zina nguvu ya kutisha. Yaani ishu yako ikishaingia tu kwenye social media umekwisha. Ni hatari kuliko polisi. Yaani kwa wakati tuliopo ni bora ishu yako iende polisi direct kuliko ianzir kwenye media. Huyu Emanuel Gekul ni mshamba bado yuko nyuma ya muda.
 
Huyo jamaa ndio kakosea. Kutishia watu kisa kasambaza video za huyo kijana akilalamika kuteswa na Mbunge wa Babati Mjini.

Hekima ya kukaa kimya inaweza kutuliza mambo nyakati za mizozo. Vinginevyo unaweza kufanya hali kuwa mbaya zaidi kwa kutenda kwa mihemuko bila kufikiri. Alichotenda huyo kijana ni kutenda kulingana na hisia, bila kutumia vizuri uwezo wake wa kufikiri.
Hajui kwa wadhifa wake kisiasa na kijamii anapaswa kutendaje. Je ni sawa kuongea irresponsibly na yule mwanamke kana kwamba yeye ni masela wa stendi au kitaani?
Aendelee kujifunza, hasira zisitangulie uwezo na nguvu za kufikiri.
 
Back
Top Bottom