Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Wamswekw ndani na yeye

Haya mauwaji
 
Mbowe ni gaidi na uaji, anatakiwa kuhukumiwa kunyogwa mpaka kufa kabisa maana ushahidi unazidi kujionesha na genge lake

Unajua ugaidi mkuu? Hivi Tanzania kimewahi kutokea ugaidi?. Tusiongee vitu ambavyo having uhalisia. Nenda Kenya waulize kuhusu West Gate watakuambia ugaidi ni Nini. Tusiongee mambo ya uongo kisa vyama vya siasa.
 

Kweli kabisa nadhani aliruhusu hisia zimtawale kuliko hekima. Angeongea kistaarabu Wala yasingefika huku kwetu.
 

Punguza generalization. Watanzania unawajua wote?.
 
Sijui mnalipwa na nani kumchafua huyo dada wa watu. Kama mzoefu wa siasa za Tanzania, hii ngoma wanapigiwa watu wajinga na wanaicheza.

Acheni hizo, akifanya ujinga Waziri eti ni Ngoma ya wajinga. Lini mtakuwa na ubinadamu. Yani Naibu Waziri akifanya kosa tunaambiwa ni Ngoma ya wajinga ila raia akiumizwa sio ngoma ya wajinga.
 
Mnafaidika nini kwa kuzusha mambo ya uongo..?
Chadema mmekuja kuwa wajinga sana.

Ungeanza kumlaumu mwenyekiti wa CCM aliyemtumbua. Anzia hapo. Na ni wapi CHADEMA wamezusha. Kafuatilie alichosema RPC wa Manyara na Katibu wa Mbunge Gekul.
 
Marehemu Mvungi nyumbani kwake Kibamba 😊

Ukitaka visa vingi zaidi nenda Mikoa ya nyanda za juu, au mfano rahisi Tarime, Kigoma na Kaskazini huko.

Unaongea kujifurahisha maana ID yako imejificha. Waliomuua mvungi walikamatwa na nadhani kesi yao bado ipo mahakamani.
 
Ungeanza kumlaumu mwenyekiti wa CCM aliyemtumbua. Anzia hapo. Na ni wapi CHADEMA wamezusha. Kafuatilie alichosema RPC wa Manyara na Katibu wa Mbunge Gekul.
Nyie mbwa ndo mmeshikilia bango hilo swala. Akianguka kwenye maisha yake mnafaidika na nini..? Tabia zingine za kichawi sana. Nyie sio wa kwanza kukimbiwa, yeye aliona hana manufaa na chama chenu akatoka, chochote mnachomfanyia kibaya hakina faida, zaidi zaidi mnajichumia dhambi tu washenzi nyie.
 
Acheni hizo, akifanya ujinga Waziri eti ni Ngoma ya wajinga. Lini mtakuwa na ubinadamu. Yani Naibu Waziri akifanya kosa tunaambiwa ni Ngoma ya wajinga ila raia akiumizwa sio ngoma ya wajinga.
Wapi amehukumiwa kwamba amefanya makosa. Binadamu mnakuwaje wepesi sana kuona na kuhukumu makosa ya wenzenu..? Let vyombo vya dola ifanye kazi yake na hata kama amekosea, yeye sio wa kwanza. Hakuna mkamilifu duniani. Atapewa adhabu na ataitumikia lakini before then, tumpe benefit yake of the doubt.
 
Duh

"Unakumbuka amsha amsha za Chadema tulitumia Mapanga na Marungu?"

"Kuwa kama mchagga wewe "

"Ulishawahi kuona mchagga anamuangamiza mchagga mwenzake hata kama amekosea?"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯
Ahaaaaaa, CHADEMA na Mapanga na marungu tena.........

Hivi wachaga wapo vipi? Mamaaaaaaaa.. hawa hawatufai..Tusiwape nchi kamwe.

Kwa hiyo mchaga akitenda maovu, hulindana. Sasa wakipewa Urais si tutakwisha.

Mnaoshabikia CHADEMA sikilizeni mahojiano haya mara ELFU MOJA. Sijui Mbeya, Mara nk, kumbe ni wasindikizaji tu.
 
Vipi mbona kama una mimba changa?
 
Kama chupa ni Nzuri tumia muda huu ingiza kwenye matyako yako mbweha wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…