Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Hawa wanaonekana ni wajinga, ndiyo maana wana drama kiasi hicho.

Wenyewe hawajui katika kipindi ambacho wanapaswa kukaa kimya na kuwa na utulivu wa akili ni hiki.

Ona sasa wameingia kwenye mtego. Hasira mbele busara nyuma zilimponza Mr mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa. By Chuchu Sound.
 
Undugu unauma, hakuna mtu anayependa kusikia habari mbaya za ndugu yake baada ya kuharibu. Usiombe uzingirwe na Wana harakati na Wana habari baada ya kutenda kosa. Hizi habari ni nzuri ukiwa unazisikiliza zikiwa hazikuhusishi wewe Wala ndugu yako.

Ni vyema mambo haya yashugulikiwe kwa mujibu wa sheria, hapo huyo mwanamke amezalisha kosa kwa kumtegesha huyu ndugu yake ambaye yupo matatizoni. Anataka kuiingiza familia nzima kwenye makosa. Ukipata tatizo ndio utamjua ndugu yako na jirani yako wa kweli ni yupi
 
Huu utetezi hauwezi kusimama mahakamani.
 
Hii ya Chadema kutumia Mapanga na Marungu lazima UVCCM waitengenezee Bango 😂🔥
 
Huu utetezi hauwezi kusimama mahakamani.
Sio utetezi. Kinachotakiwa Sasa ni kuhakikisha huyo mtuhumiwa Pauline Gekul anakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake ili haki ya huyo mtoto ipatikane.

Kinachoonelana hapo ni watu wanaofahamiana, kabila Moja ,wanategeshewa makosa mengine ,Africa Mzee familia yenu ikitoboa the rest ndugu zako ni wakala hoi, hakuna rangi utaacha kuona hata ujipendekeze vipi wewe ni mtuhumiwa tuu

Ukipata tuhuma, zikiwa haziishi, Kila ukifungua chombo Cha habari unsisikia, Kila gaziti head line, Kila kundi la Whatsapp Wana forward bila kujali kuwa ndugu zake wapi Wana forward halafu anaandika " hii imekaje wadau" familia nzima inaugua ndio maana wazungu katika DOCTRINE OF RESJUDICATA Kuna principle yake inasema Interest Reipublicae Ut Sit Finis Litium ikimaanisha jamii inahitaji jambo likianza lifike mwisho

Mara nyingi Wana harakati na wanasiada huwasha moto sio kwa sababu ya kile kilichotokea Bali Wana ma ajenda Yao ikitokea kitu Cha namna hiyo wananlink ili kusukuma ajenda zao. Bila kusahau muda wa Kampeni za ubunge zinakaribia hivyo Kila mtu anatafuta nitoke vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…