OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyo ni mbunge wa CCM ambayo ni mwalimu wa maovu yoteNadhani hadi Ufipa st mtafikiwa
" Mapanga na Marungu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mbunge wa CCM ambayo ni mwalimu wa maovu yoteNadhani hadi Ufipa st mtafikiwa
" Mapanga na Marungu"
Bwashee umeshakula kitimoto iliyochacha hapo Njombe saivi umevimbiwa unajamba jamba tu.Hayo kasema Emmanuel Gekul bwashee 😄😄
Au una bando la Jero!
Haina nguvu alikuwa wapi asi report kumbuka hii ishu kwa sasa ni ya kutishia kuua tayari jalada limetua polisi. Hasira hasaraHii ya Chadema kutumia Mapanga na Marungu lazima UVCCM waitengenezee Bango [emoji23][emoji91]
Jamaa ni ame confirm kilichotokea kuwa ni kweli. He's a dimwit. Ame mu-implicate dada yake directly.Hasira hasara, Emma amefanya upumbavu tayari kwenye clip anasema ana akili mwenye akili anatishia kukata kichwa cha mtu kwenye simu! mwenye akili anapigiwa simu na adui ana ongea huo ujinga bila kujua ana rekodiwa! Huyo ndio ile mtu naambianga ni pusi!
Ila TANZANIA nyko kiongozi hata akutwe na kashfa lakini kuachia nafasi yake haachi mpaka atunguliweAngeachia mwenyewe bila kuambiwa
Sijajua Kwanini Emmanuel amelinganisha Mapanga na Marungu ( Chadema) vs Chupa (CCM)Bwashee umeshakula kitimoto iliyochacha hapo Njombe saivi umevimbiwa unajamba jamba tu.
Usiwe mpuuzi kama akina Gekul. Tutaku record bwashee.
Njoo tule kisusia na mbege. Wachagga sisi sio ma snitch.
Bwashee haujui symbolic language asee. "By hooks and crooks". Au yule mtama wa bastola alipopiga bao ya mkono maana yake alipiga punyeto?Sijajua Kwanini Emmanuel amelinganisha Mapanga na Marungu ( Chadema) vs Chips (CCM)
Nchi Ngumu sana hii
Akina gekul ndiyo watoto wa gaidi mbowe, yaani hao ndiyo uthibitisho wa mauaji aliyowahi fanya mboweWewe ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine kosa watende akina Gekul hukumu ahukumiwe Mbowe kisa Mchaga,pumbavu zenu wauaji wakubwa ninyi.
Na ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upiteUndugu unauma, hakuna mtu anayependa kusikia habari mbaya za ndugu yake baada ya kuharibu. Usiombe uzingirwe na Wana harakati na Wana habari baada ya kutenda kosa. Hizi habari ni nzuri ukiwa unazisikiliza zikiwa hazikuhusishi wewe Wala ndugu yako. Ni vyema mambo haya yashugulikiwe kwa mujibu wa sheria, hapo huyo mwanamke amezalisha kosa kwa kumtegesha huyu ndugu yake ambaye yupo matatizoni. Anataka kuiingiza familia nzima kwenye makosa. Ukipata tatizo ndio utamjua ndugu yako na jirani yako wa kweli ni yupi
Emma ni kijana Mjinga!,mjinga akiongea utajua!,mtu mjinga hujiita ana akiliJamaa ni ame confirm kilichotokea kuwa ni kweli. He's a dimwit. Ame mu-implicate dada yake directly.
Hapo Hachomoi Yaani Amebanwa Kwenye CornerWabongo wakikubahatisha utakoma