Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Haraka Chap Atupwe NdaniHii familia ina tatizo sio bure wao ni kutishia kuua tu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haraka Chap Atupwe NdaniHii familia ina tatizo sio bure wao ni kutishia kuua tu 😀
Siasa safari yake imekoma😂Hapo Hachomoi Yaani Amebanwa Kwenye Corner
Hapo kategeshwa tuu na huyo mama. Huyo mama kampigia simu mwenyewe with malice kwa lengo la ku aggravate tatizo kuimsliza familia nzima. Unaona jinsi alivyokuwa anamvutia pole pole huku aki mprovoke kitaalamu. Kwa vyovyote ndugu yako akiwa kwenye peril lazima uta provoke kirahisiNa ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upite
Amechafuka Ananuka Siasa Ataitazama KwanzaSiasa safari yake imekoma😂
Kwa hiyo Gekul ni mtoto wa Mbowe?Akina gekul ndiyo watoto wa gaidi mbowe, yaani hao ndiyo uthibitisho wa mauaji aliyowahi fanya mbowe
Jamaa anaonekana tu kichwani hamna kituHiyo nafasi CRDB itakuwa kawekwa tu pengine na dada yake...
Yaani ilitakiwa kipind hiki awe na busara hata za kukopa, unashindwa kusoma nyakati...
ameharibu zaidi. na pale anasema aachie wachagga wasambaze ndio ameonyesha ukabila na ujinga mkubwa sana.Jamaa anaonekana tu kichwani hamna kitu
Dada yKo Ana msala alafu bado tu unazungumzazungumza mambo ya ajabu...anazidi kupalilia moto tu
Ova
Na wakishakuwa nje ya mfumoMaV8 yasikieni tu,tena hayo ya mafuta bure kunyang'anywa kizembe ni msala.
Ukweli ndiyo huo.Huyo ni mbunge wa CCM ambayo ni mwalimu wa maovu yote
Kama familia wanaonesha wana dark projects against humanity.Jamaa ni ame confirm kilichotokea kuwa ni kweli. He's a dimwit. Ame mu-implicate dada yake directly.
Mpuz sana yuleNa ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upite
Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwaHuyo ni mbunge wa CCM ambayo ni mwalimu wa maovu yote
Ndomana nilisema kajazwa na kajaaHapo kategeshwa tuu na huyo mama. Huyo mama kampigia simu mwenyewe with malice kwa lengo la ku aggravate tatizo kuimsliza familia nzima. Unaona jinsi alivyokuwa anamvutia pole pole huku aki mprovoke kitaalamu. Kwa vyovyote ndugu yako akiwa kwenye peril lazima uta provoke kirahisi
Yani ni mtu asiekuwa na exposure yoyote huyo. Kwenye mambo kama haya ukimya huwa unasaidia sana. Hata kama ni tuhuma za uongo ila kujibujibu hovyo huwa kuna implications zake.Kama familia wanaonesha wana dark projects against humanity.
Lakini ndo assets za CCM hao.
Kajiweka mwenyewe kwenye kikaango.Yani ni mtu asiekuwa na exposure yoyote huyo. Kwenye mambo kama haya ukimya huwa unasaidia sana. Hata kama ni tuhuma za uongo ila kujibujibu hovyo huwa kuna implications zake.
Jinga kabisa huyu jamaa...Jamaa anaonekana tu kichwani hamna kitu
Dada yKo Ana msala alafu bado tu unazungumzazungumza mambo ya ajabu...anazidi kupalilia moto tu
Ova
Self intelligence muhimu sana kwa mwanadamuameharibu zaidi. na pale anasema aachie wachagga wasambaze ndio ameonyesha ukabila na ujinga mkubwa sana.