Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Mbowe nimetaja wapi bwashee? Au mbege imekolea

Wewe unadhani swala la kutumia Mapanga na Marungu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ ni dogo hilo?

Huyo Emma ni Chadema kuliko wewe ujue!
Tofauti yako Lucas Mwashambwa ni kwamba wewe ni mpenzi wa Magufuri na kundi lake lakini Lucas ni mpenzi wa Mama na kundi lake.
 
Back
Top Bottom