Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Na ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upite
Hapo kategeshwa tuu na huyo mama. Huyo mama kampigia simu mwenyewe with malice kwa lengo la ku aggravate tatizo kuimsliza familia nzima. Unaona jinsi alivyokuwa anamvutia pole pole huku aki mprovoke kitaalamu. Kwa vyovyote ndugu yako akiwa kwenye peril lazima uta provoke kirahisi
 
Ndomana nilisema kajazwa na kajaa
Kaingia mwenyewe kwenye 18

Ova
 
ameharibu zaidi. na pale anasema aachie wachagga wasambaze ndio ameonyesha ukabila na ujinga mkubwa sana.
Self intelligence muhimu sana kwa mwanadamu
Jamaa linalopokalopoka tu ohh ntawasha gari nkufate,nkukate kichwa
Sasa huyo mama ikitokea njiani kaanguka tu kwa presha au jambo lolote likimtokea Emma si atakuwa mtuhumiwa #1

Ova
 
Back
Top Bottom