Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Hasira hasara, Emma amefanya upumbavu tayari kwenye clip anasema ana akili mwenye akili anatishia kukata kichwa cha mtu kwenye simu! mwenye akili anapigiwa simu na adui ana ongea huo ujinga bila kujua ana rekodiwa! Huyo ndio ile mtu naambianga ni pusi!
Jamaa ni ame confirm kilichotokea kuwa ni kweli. He's a dimwit. Ame mu-implicate dada yake directly.
 
Bwashee umeshakula kitimoto iliyochacha hapo Njombe saivi umevimbiwa unajamba jamba tu.

Usiwe mpuuzi kama akina Gekul. Tutaku record bwashee.

Njoo tule kisusia na mbege. Wachagga sisi sio ma snitch.
Sijajua Kwanini Emmanuel amelinganisha Mapanga na Marungu ( Chadema) vs Chupa (CCM)

Nchi Ngumu sana hii
 
Undugu unauma, hakuna mtu anayependa kusikia habari mbaya za ndugu yake baada ya kuharibu. Usiombe uzingirwe na Wana harakati na Wana habari baada ya kutenda kosa. Hizi habari ni nzuri ukiwa unazisikiliza zikiwa hazikuhusishi wewe Wala ndugu yako. Ni vyema mambo haya yashugulikiwe kwa mujibu wa sheria, hapo huyo mwanamke amezalisha kosa kwa kumtegesha huyu ndugu yake ambaye yupo matatizoni. Anataka kuiingiza familia nzima kwenye makosa. Ukipata tatizo ndio utamjua ndugu yako na jirani yako wa kweli ni yupi
Na ukute huyo dogo dada ake ndio kampigia connection kupata kazi crdb, hawa akina gekul inabidi wakae kimya huu upepo upite
 
😂😂😂😂😂 jamani tuwe makini na haya masimu yetu aise! Emma kakaangika kinomanoma mitandaoni sijui atakwepea wapi kashfa hii!!

Hata hivyo kuna kitu hapa, kama vile kifurushi cha neema kimekata kwenye familia ya Gekulu kinaingia cha mikosi sasa!
 
Back
Top Bottom