Kaa kimya weweeeDuh
"Unakumbuka amsha amsha za Chadema tulitumia Mapanga na Marungu?"
"Kuwa kama mchagga wewe "
"Ulishawahi kuona mchagga anamuangamiza mchagga mwenzake hata kama amekosea?"
πππππππ₯
britanicca mtu wangu inakuwaje?Nafikiri CHADEMA wanaunga mkono wakamatwe yeye na dada yake Pauline wakatoe ushahidi huo.
Wahuni kama Makonda.Kama kuna ushahidi huyo jamaa asiachwe, aburuzwe mahakamani. Dada ake kapata ajali ya kisiasa kizembe aachie ngazi na ubunge, hatuwezi kuwa na viongozi wa umma wahuni
Mbowe nimetaja wapi bwashee? Au mbege imekolea. johnthebaptist yeye amekomaa na CHADEMA na Mbowe katikati ya uhalifu huu!
Emma kamwaga Ugali na Mboga ππKaa kimya weweee
Tofauti yako Lucas Mwashambwa ni kwamba wewe ni mpenzi wa Magufuri na kundi lake lakini Lucas ni mpenzi wa Mama na kundi lake.Mbowe nimetaja wapi bwashee? Au mbege imekolea
Wewe unadhani swala la kutumia Mapanga na Marungu ππ₯ ni dogo hilo?
Huyo Emma ni Chadema kuliko wewe ujue!
Mwanaume kavuliwa ubingwa ndugu yangu...Wairaqwi acheni kuhasidiana.
Waliua wangapi ?Anasema kwenye kampeni za chadema walikua wana amsha amsha kwa mapanga na marungu [emoji1787]
hata makonda achunge sana haiba yake ya kisiasa kuiharibu ni dakika moja tuWahuni kama Makonda.
RPC Manyara alipaswa kusimamishwa kazi mara mojaHizi ni dharau kubwa sana
Familia ya Gekuli wamekuwa majogoo hapo babati sio hadi polis wanawaogopa
Hatua zichukuliwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app