Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Japo inaonekana ni kweli Gekul ametenda kosa, ila CHADEMA wamepata fimbo ya kumchapia 'msaliti' wao
Siyo cdm tu hata huko ccm unafikiri
Hawatoleani macho
Mtu mwenyewe kaja juzi juzi ccm kalamba nafasi kubwa

Ova
 
Ndio hayo niliyasema jana sina imani na polisi au mahakama.

Majuzi hapa kina Slaa na Mwabukusi walitangaza maandamano kwa kwa kauli hata hawajafika uwanjani walishazingirwa nyumbani na kuwekwa mahabusu.

Huyu Pauline kavuliwa unaibu waziri ambao ni surplus tu bado ana kofia ya ubunge na yupo mtaani tu.
 
Hayo kasema Emmanuel Gekul bwashee [emoji1][emoji1]

Au una bando la Jero!
Sasa ndiyo mkamshike awaeleze hayo mapanga na rungu walitumia wakati gani na Serikali ilikuwa wapi??? Na je 2020 Pauline Gekul aliwakilisha Chadema??

Uchafu wa dadake haihusiani na Chadema. Na kama huyo Emmanuel Gekul alitumia zana hizo kwa siri ili kuhakikisha dadake anaibuka mshindi basi mkamateni yeye akasaidie Tanpol. Vinginevyo hata wewe huna tofauti na Pauline Gekul.
 
Huyo Emma ni Chadema kuliko wewe!
 

Huyo jamaa ndio kakosea. Kutishia watu kisa kasambaza video za huyo kijana akilalamika kuteswa na Mbunge wa Babati Mjini.
 

Sidhani. Huyo dada kaamua kuweka mambo wazi ili jamaa akimdhuru ijulikane. Maana Emma alitumia SMS ya vitisho dada ikabidi ajiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…