Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Emma WA CRDB alikuwa akimtumia SMS za vitisho ndio akaamua aende nae hewani amrekodi.
 
Root cause sio familia ya Gekul...shida inaanza unapokuwa na nchi ambayo ina tabaka la watwa na watwana, watu walio juu na chini ya sheria n.k...

Naona watu wanakomaa na familia ya Gekul wakati haya mambo wanayafanya sana familia za wanasiasa wenye vyeo haswa CCM...

Ipo mifano mingi tu, je Wadanganyika mmesahau jamaa aliyepigwa shaba hadharani na mwendazake "Ukiwaona Dito Mzuri mzuri"
 
Zao la Chadema

Gekul kijana mtiifu wa Mbowe

Leo ndio mmejua ni zao la CHADEMA. Wakati mnawapokea Tena kwa matusi juu hamkulijua Hilo. Pauline alipwa na Karma. CHADEMA ilimpa viti maalum na baadae ikampigia kampeni Babati Mjini akawa mbunge ila malipo yake ilikuwa kukishushua chama. Ngoja naye ashushuliwe.
 
Yaani AIBU tupu. Emmanuel na dadake sijui ni Ma Graduate wa wapi. Wamekalia majungu na ushirikina. Mganga kamuambia kuna Vijana wawili wametumwa na mbaya wako kuja kuvuruga biashara yako kisha kukuua wewe mwenyewe. Kusikia tu hivyo kamuagiza Dereva wake kuwasha gari na Kumuambia twende nyumbani mara moja. Alipofika akaenda kuwatendea Vijana wale alichowatendea bila hata kuzungumza nao.
 
Mkuu elimu haimkomboi mtu na asili yake Hata awe Profesa wa digrii Saba .
Kama alitegemea waganga Kwenye maisha yake hataacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…