Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Sisapoti alichosema huyo jamaa. Na inaonekana dakika za mwisho ni kama alihisi anrekodiwa.

Lakini huyo mwanamke ni kama alikuwa anam “antagonize”, yani kumkasirisha apandishe hasira aongee maneno mabaya kwasababu anamrekodi.

Jamaa hovyo sana kutolea mfano wa wachagga maana siyo kweli, lakini huyo mwanamke ni pumbavu kabisa kama huyo Immanauel na zaidi.
Huyo jamaa alianza kumtumia meseji za vitisho na meseji zipo. Ndio huyo dada akampigia Ili amueleze vizuri!

Kwahiyo hata kama asingempigia Kuna meseji jamaa alimtumia huyo dada ni za vitisho...
 
Mkuu elimu haimkomboi mtu na asili yake Hata awe Profesa wa digrii Saba .
Kama alitegemea waganga Kwenye maisha yake hataacha

Umenikumbusha mbali sana mkuu, na bosi wangu huko nyuma, shule alikuwa amekwenda, ndani na nje ya nchi, lakini alikua anaamini mno uganga na pasipo kificho! Aliishi kwa hofu mno, kila mtu ofisini alikuwa mbaya wake! Alikuwa hawezi kunywa chai, kwenda msalani, ilikuwa inambidi aende nje ya ofisi, mahotelini au bar! alibadili dereva, na kuleta toka kijijini kwake, baadaye hata mpika chai ya ofisi ili aweze kunywa chai na alimtoa kijijini kwake...! Ukiiangali CV yake utaitamani......Digrii zilikuwa jimejipanga vizuri! Ushirikina unaweza kukutesa!
 
Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
wamesha mkana tayari
Screenshot_20231127-032119_X.jpg
 
View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.

HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.

EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.

PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.

PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?

IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Hongereni wananchi wa Babati.

Haki imeshinda,Umoja wenu ndiyo ulinzi wenu sasa mtuhumiwa wetu yupo katika mikono salama ya Jeshi la Polisi Tz.

Jaribio lake la Kutoroka mkono wa sheria limezimwa na Wananchi na sasa Polisi wamemtia mbaroni mualifu wetu.

Sasa anachukuliwa MAELEZO YA ONYO katika Ofisi za RCO,Manyara

Pauline Gekul alipanga kutokea Nairobi,Kenya [emoji1139] leo alfajiri baada ya jana Gekul kupata taarifa za kutaka
1.kushtakiwa na 2.Kufukuzwa uanachama wa CCM Wilayani Babati.

Umoja mlio onyesha wananchi wa Babati usiishie hapo tu.

Jutitokeze Kwa wingi Mahakamani ili haki iweze Kuonekana ikitendeka.

Najua Babati inafuraha kama imepata uhuru tangu Jana,lakini tuendelee na kazi ya doria.

Ukatili na ualifu dhidi ya utu unapaswa Kupingwa na dini zote,Itikadi zote na jamii yote mahala popote.

20231127_032512.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Undugu unauma, hakuna mtu anayependa kusikia habari mbaya za ndugu yake baada ya kuharibu. Usiombe uzingirwe na Wana harakati na Wana habari baada ya kutenda kosa. Hizi habari ni nzuri ukiwa unazisikiliza zikiwa hazikuhusishi wewe Wala ndugu yako.

Ni vyema mambo haya yashugulikiwe kwa mujibu wa sheria, hapo huyo mwanamke amezalisha kosa kwa kumtegesha huyu ndugu yake ambaye yupo matatizoni. Anataka kuiingiza familia nzima kwenye makosa. Ukipata tatizo ndio utamjua ndugu yako na jirani yako wa kweli ni yupi
To be honest huyo mama ni mtu mbaya Sana.
Haifai kuwa ndugu, ni kama alikuwa anasubiri jamaa ajikanyage akimbilie mitandaoni.
Huenda katuma sababu ya usalama wake.
 
Watanzania wanafurahia masahibu ya wengine, ni kama watafaidika ikiwa Emma ataingizwa majaribuni.
Pauline Gekul alikuwa chadema na akina maranja masese. Alijitoa huko na kurudi ccm kipindi jiwe na cohorts wake wanawanunua upinzani.
Alipofika ccm, alianza kulamba vyeo mpaka sasa maranja masese anapomuonea gere.
Kama jamaa alifanyiwa ukatili kwa amri ya Pauline, kwa nini hakuenda polisi kushitaki?
Masese acha ugaidi wenu
We matako kweli kwa hiyo masese ndiyo kamtengua uwazir?
Hivi unamuingiziaje binadamu mwenzako chupa matakoni aise?

Sasa ataitwa rasmi mama chupa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kuamini waganga wa kienyeji? Kwa akili hii tu hafai kuwa kiongozi hata nyumba kumi.

Kesho mganga akimwambia uongo mwingine ataenda kutesa wengine. Bila shaka kwa akili hizi ameshaonea wengi wasio na hatia.
Hawa ndiyo wale waganga wanawaambia wakaue albino wanaenda kuuwa ili wapate vyeo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio utetezi. Kinachotakiwa Sasa ni kuhakikisha huyo mtuhumiwa Pauline Gekul anakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake ili haki ya huyo mtoto ipatikane.

Kinachoonelana hapo ni watu wanaofahamiana, kabila Moja ,wanategeshewa makosa mengine ,Africa Mzee familia yenu ikitoboa the rest ndugu zako ni wakala hoi, hakuna rangi utaacha kuona hata ujipendekeze vipi wewe ni mtuhumiwa tuu

Ukipata tuhuma, zikiwa haziishi, Kila ukifungua chombo Cha habari unsisikia, Kila gaziti head line, Kila kundi la Whatsapp Wana forward bila kujali kuwa ndugu zake wapi Wana forward halafu anaandika " hii imekaje wadau" familia nzima inaugua ndio maana wazungu katika DOCTRINE OF RESJUDICATA Kuna principle yake inasema Interest Reipublicae Ut Sit Finis Litium ikimaanisha jamii inahitaji jambo likianza lifike mwisho

Mara nyingi Wana harakati na wanasiada huwasha moto sio kwa sababu ya kile kilichotokea Bali Wana ma ajenda Yao ikitokea kitu Cha namna hiyo wananlink ili kusukuma ajenda zao. Bila kusahau muda wa Kampeni za ubunge zinakaribia hivyo Kila mtu anatafuta nitoke vipi
Hapa ndio unaona umecheza bonge la mind game!
 
Sisapoti alichosema huyo jamaa. Na inaonekana dakika za mwisho ni kama alihisi anrekodiwa.

Lakini huyo mwanamke ni kama alikuwa anam “antagonize”, yani kumkasirisha apandishe hasira aongee maneno mabaya kwasababu anamrekodi.

Jamaa hovyo sana kutolea mfano wa wachagga maana siyo kweli, lakini huyo mwanamke ni pumbavu kabisa kama huyo Immanauel na zaidi.
Kabisa, binafsi sijapenda alichofanya huyo mama, japo na jamaa nae kazingua kipindi hiki alibidi awe makini.
 
View attachment 2825594
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally.

HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na kuwekewa chupa sehemu yake ya haja kubwa kwa amri ya Pauline Gekul, akiwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Wakazi wa Babati Mjini walichukizwa na kitendo hicho, wengine wakaamua kusambaza taarifa ile WhatsApp.

EMMANUEL GEKUL anasikika katika video hiyo yenye sauti akimchimba mkwara mzito na kumueleza PAULINA SLAA NARSIS atamkata kichwa na kumpiga risasi kwa kusambaza video hizo za Hashimu. Gekul ametukana matusi mengi ya nguoni. Gekul anatamba kwamba anaweza kumuua na Babati ikatulia.

PAULINE na EMMNAUEL wanapata kiburi kwa nani? RPC Manyara upo? RCO upo? Raia wa Babati anatishiwa maisha yake kwa sababu ya kusambaza taarifa za UOVU wa PAULINE GEKUL? Familia ya GEKUL imelimeza jeshi la polisi Manyara na Babati wanaitawala kifalme? Tunataka EMMANUEL anachukuliwa hatua za kisheria iwe fundisho.

PAULINA SLAA NARSIS ametoa taarifa za kutishiwa kuuwawa kwa kuchinjwa na kupigwa risasi na EMMANUEL GEKUL, lakini hadi sasa hakuna lolote ambalo linaendelea. RPC unajua vizuri hili suala. EMMANUEL GEKUL anasema jeshi la polisi Manyara kwake siyo lolote na haogopi. Je, ni kweli familia ya GEKUL imelishika jeshi la polisi Manyara?

IGP, tunataka jeshi la polisi Manyara na Babati, lichunguzwe na ikibainika kuna watu wanakula njama za kutenda uhalifu kwa kushirikiana na familia ya GEKUL, wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria. Hatuwezi kuwa na watu katika utumishi wa jeshi la polisi wanaoshirikiana na wahalifu kutenda UHALIFU wa kutisha kwa binadamu wenzao.
Huu ni ushahidi mwingine utakaomfunga Gikul, na huyu mdogo wake ingependeza akakamatwa aisaidie polisi, ana mengi yaliyojificha!
 
Back
Top Bottom