nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki
Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya champions league hayaeleweki, kaongelea pia kuhusu logo yao chafuchafu yenye mabondia kwamba ni wakati sahihi wa kuibadili
Kikubwa zaidi kaliongelea lopolopo , jitu fulani la hovyohovyo ambalo hata Yuda iskarioti huko alipo jehanamu mwenyewe analishangaa