Audio: Ridhiwani Kikwete asema Manara ni mchumia tumbo, Yanga hawako serious

Audio: Ridhiwani Kikwete asema Manara ni mchumia tumbo, Yanga hawako serious

Status
Not open for further replies.
Wanatapa tapa
20210905_153119.jpg

Nakuuliza hata kama sio Riz1,hoja yake haina mashiko? Mimi ni mmoja wapo hununua jezi kukiwa na mechi. Ila leo nimenunua pea 4. Mimi wife,dogo na jirani yangu mmoja ni fan kinyama ila hana budget.
 
Yanga wanaendesha biashara kama waarabu na wahindi wa zamani wakijisikia muda wowote wanafunga duka wanaenda kulala au kuswali, utaona upepo wa kibiashara baada ya ujio wa wachaga, wakinga na wachina ambao muda wote wanapatikana na bidhaa zipo. Wanazindua vijezi vichache tuu dar wamemaliza wakati vunjabei siku hiyo kila mkoa kapeleka na kimsingi watu wanauana kuzigombea
 
Yeye mbona ndiyo mchumia tumbo sana, manara anataka mkono uwende kinywani, yeye ridhwani kabula ya ubunge alikuwa wapi, Mama yake pamoja na kuwa mke wa raisi miaka kumi bado anachumia tumbo na pesa zote hizo za familia, Ina maana hakuna mtu mwingine anaweza kuwa mbunge hilo Jimbo, lakini yumo tu , mtoto yumo ,baba ndo amekuwa tena foreign minister.
yani kuna vitu unasoma hadi unajutia mda wako kusoma.

Sasa nini hii umeandika.
 
Nakuuliza hata kama sio Riz1,hoja yake haina mashiko? Mimi ni mmoja wapo hununua jezi kukiwa na mechi. Ila leo nimenunua pea 4. Mimi wife,dogo na jirani yangu mmoja ni fan kinyama ila hana budget.

Barikiwa sana Mkuu kumnunulia huyo jirani yako Shabiki wa Simba,furaha uliyompatia itakuwa haina mfano[emoji120]
 
Huyo ni Riz hiyo sauti ya babake kabisa, amewaambia kweli muachane na yule mchumia tumbo na muache kuwapa promo Simba bila kujua, mkiendelea kukaza shingo mnaenda kutolewa na wanaigeria nyie komaeni tu kufanya mechi na friends rangers.
 
kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki

Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya champions league hayaeleweki, kaongelea pia kuhusu logo yao chafuchafu yenye mabondia kwamba ni wakati sahihi wa kuibadili

Kikubwa zaidi kaliongelea lopolopo , jitu fulani la hovyohovyo ambalo hata Yuda iskarioti huko alipo jehanamu mwenyewe analishangaa

Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebuma
 
Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebuma
Usikatae. Hii ni yeye. Amekataa kisiasa tu akijua wanayanga tutakwazika ila kiuhalisia ni yeye. Mi nafahamu.na anachosema ni kweli.mimi mpaka naitwa majina ya ajabu na Yanga wenzangu sababu naangalia hoja na sivioja.nina elimu nina maisha yangu napenda ukweli.
 
Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebuma
Ukweli huwa unachoma, ndio uvumilie tu kama yule mchumia tumbo wenu anavyovumilia, sasa hivi atakuwa mwekunduuu.
 
We mrs Haji unatakiwa ujibu hoja za bwana yako kuwa mchumia tumbo mtu asiye haya.

Back
Top Bottom