Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ukweli huwa unachoma, ndio uvumilie tu kama yule mchumia tumbo wenu anavyovumilia, sasa hivi atakuwa mwekunduuu.
Halafu umegundua baada ya hiyo Audio,Manara kaacha na kupost Vijembe kwa Simba,nahisi amegundua kuwa Wanazi wa Yanga wenye Yanga yao bado hawajamkubali,na mbaya zaidi hana uwezo hata kumnanga Riz 1,ataishia kuwa mwekunduu kama ulivyosema