nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hao wanajulikana tangu awamu ya nne wakati ule wakiitwa HSC kazi yao ni kukwepa kodi, na sasa upepo wao umerudi tena kwa mlango wa pembeni ndiyo wanababua kweli kweliMo ntu ya dili lakini ana vision wapi anataka kuiona Simba ila ndugu zetu GSM wapigaji tu wapo kibiashara tu.
Yeye mbona ndiyo mchumia tumbo sana, manara anataka mkono uwende kinywani, yeye ridhwani kabula ya ubunge alikuwa wapi, Mama yake pamoja na kuwa mke wa raisi miaka kumi bado anachumia tumbo na pesa zote hizo za familia, Ina maana hakuna mtu mwingine anaweza kuwa mbunge hilo Jimbo, lakini yumo tu , mtoto yumo ,baba ndo amekuwa tena foreign minister.kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki
Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya champions league hayaeleweki, kaongelea pia kuhusu logo yao chafuchafu yenye mabondia kwamba ni wakati sahihi wa kuibadili
Kikubwa zaidi kaliongelea lopolopo , jitu fulani la hovyohovyo ambalo hata Yuda iskarioti huko alipo jehanamu mwenyewe analishangaa
🤣🤣 Kasema kweli,kuna jina lingine hapo MAZUZU FCkaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki
Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya champions league hayaeleweki, kaongelea pia kuhusu logo yao chafuchafu yenye mabondia kwamba ni wakati sahihi wa kuibadili
Kikubwa zaidi kaliongelea lopolopo , jitu fulani la hovyohovyo ambalo hata Yuda iskarioti huko alipo jehanamu mwenyewe analishangaa
Inaonekana hujui maana ya mchumia tumboYeye mbona ndiyo mchumia tumbo sana, manara anataka mkono uwende kinywani, yeye ridhwani kabula ya ubunge alikuwa wapi, Mama yake pamoja na kuwa mke wa raisi miaka kumi bado anachumia tumbo na pesa zote hizo za familia, Ina maana hakuna mtu mwingine anaweza kuwa mbunge hilo Jimbo, lakini yumo tu , mtoto yumo ,baba ndo amekuwa tena foreign minister.
Ni sauti ya utopoloHii sio sauti ya Ridhiwani
Hata kama sio Riz1,ila point zake zipoje mkuu?Hii sio sauti ya Ridhiwani
Nimeisikiliza kwa makini kidogo, nikamsikia Jakaya kwa mbali, hivyo kama si Rizi basi atakuwa ni wa kutokea kwenye mfupa huo huo aisee.Hii sio sauti ya Ridhiwani
Ukweli rizmoko nimemwelewa, na ameongea vitu vya maana mno, how comes timu inajiandaa na international games inajipima kwa friends rangers?Kumbe Utopolo bado kuna watu wenye kujitambua, ameongea ukweli mtu ila kwa vile zaidi ya asilimia 97 ya watopolo ni wale oya oya watabisha na kumtukana
Waache waendelee kuhangaika na jezi ikifika tarehe 12 Rivers wawashangaze.Jezi ya kwanza mimi kuiona ilikua video aliyonitumia shabiki wa Utopolo kwenye whatsap yangu,uku akiniambia",madekio yenu yamevuja",hapo sasa ndo akawa kanipa tamaa,nikaanza kuzisaka sasa kwa kasi mpaka nikaipata jezi nyeupe.
baada sikumbili mwana Uto mwingine akatuma hapa jf jezi ile ya kijivu kuinanga eti ina makorokoro,doh!,,nakaiona ni kali kuliko nyeupe ikabidi tena nikasake na iyo kijivu.
Wanatapa tapaUzushi mtupu......
Huyu wala si mh.Ridhiwani Kikwete.....
Mmefeli WAJOMBA 🤣🤣🤣
Awe yeye asiwe yeye ujumbe umefikaUzushi mtupu......
Huyu wala si mh.Ridhiwani Kikwete.....
Mmefeli WAJOMBA 🤣🤣🤣