OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanatapa tapa
😂😂😂 huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana. Mungu humalizana na wanafiki kibabe sanaRidhiwan ana akili sana, Utopolo mjifikirie mke anaemsema sana ex wake jua siku akitoka kwako View attachment 1924678
una maana gani?Ridhiwani na GSM si marafiki.
Ni yeye kaikana kwa vile hakujua kuwa itavuja na imeinanga kimtindo GSM ambayo ilinufaika na ukwepaji kodi enzi za utawala wa Baba yake.Hii sio sauti ya Ridhiwani
Maandalizi ya CAF CL wanafanya trial match na timu ya Ndondo cup,hawa hawako serious wataenda kutuabisha tu.Ukweli rizmoko nimemwelewa, na ameongea vitu vya maana mno, how comes timu inajiandaa na international games inajipima kwa friends rangers?
yani kuna vitu unasoma hadi unajutia mda wako kusoma.Yeye mbona ndiyo mchumia tumbo sana, manara anataka mkono uwende kinywani, yeye ridhwani kabula ya ubunge alikuwa wapi, Mama yake pamoja na kuwa mke wa raisi miaka kumi bado anachumia tumbo na pesa zote hizo za familia, Ina maana hakuna mtu mwingine anaweza kuwa mbunge hilo Jimbo, lakini yumo tu , mtoto yumo ,baba ndo amekuwa tena foreign minister.
Hii sio sauti ya Ridhiwani
Nakuuliza hata kama sio Riz1,hoja yake haina mashiko? Mimi ni mmoja wapo hununua jezi kukiwa na mechi. Ila leo nimenunua pea 4. Mimi wife,dogo na jirani yangu mmoja ni fan kinyama ila hana budget.
Pia, Msukule Zeruzeru = Mchumia Tumbo 🤣,
🤣🤣 Kasema kweli,kuna jina lingine hapo MAZUZU FC
Ni wewe auUzushi mtupu......
Huyu wala si mh.Ridhiwani Kikwete.....
Mmefeli WAJOMBA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utopolo anaejitambua ni rizmoko tuWanatapa tapa
Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebumakaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki
Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya champions league hayaeleweki, kaongelea pia kuhusu logo yao chafuchafu yenye mabondia kwamba ni wakati sahihi wa kuibadili
Kikubwa zaidi kaliongelea lopolopo , jitu fulani la hovyohovyo ambalo hata Yuda iskarioti huko alipo jehanamu mwenyewe analishangaa
Usikatae. Hii ni yeye. Amekataa kisiasa tu akijua wanayanga tutakwazika ila kiuhalisia ni yeye. Mi nafahamu.na anachosema ni kweli.mimi mpaka naitwa majina ya ajabu na Yanga wenzangu sababu naangalia hoja na sivioja.nina elimu nina maisha yangu napenda ukweli.Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebuma
Ukweli huwa unachoma, ndio uvumilie tu kama yule mchumia tumbo wenu anavyovumilia, sasa hivi atakuwa mwekunduuu.Ameshakanusha upuuzi wenu huo mnaoenda kurekodi ujinga ujinga inaonekana mnavyowashwa washwa na suala la manara,,,tafuteni lingine hilo limebuma
Kama huyu mdudu hapa kudadadeqsasa hivi atakuwa mwekunduuu.
Yeye mbona ndiyo mchumia tumbo sana, manara anataka mkono uwende kinywani, yeye ridhwani kabula ya ubunge alikuwa wapi, Mama yake pamoja na kuwa mke wa raisi miaka kumi bado anachumia tumbo na pesa zote hizo za familia, Ina maana hakuna mtu mwingine anaweza kuwa mbunge hilo Jimbo, lakini yumo tu , mtoto yumo ,baba ndo amekuwa tena foreign minister.
Nyani haoni kundule, broken rubberWe mrs Haji unatakiwa ujibu hoja za bwana yako kuwa mchumia tumbo mtu asiye haya.