Audio: Ridhiwani Kikwete asema Manara ni mchumia tumbo, Yanga hawako serious

Status
Not open for further replies.
Ukweli huwa unachoma, ndio uvumilie tu kama yule mchumia tumbo wenu anavyovumilia, sasa hivi atakuwa mwekunduuu.

Halafu umegundua baada ya hiyo Audio,Manara kaacha na kupost Vijembe kwa Simba,nahisi amegundua kuwa Wanazi wa Yanga wenye Yanga yao bado hawajamkubali,na mbaya zaidi hana uwezo hata kumnanga Riz 1,ataishia kuwa mwekunduu kama ulivyosema
 
Umeiona na hii?

Usiombe ujipendekeze kwa watoto wa baba mwingine halafu kila ukijitahidi kuropoka jamaa hawana habari na wewe, Manara asipokuwa makini anaweza kujinyonga.
 
Mo ntu ya dili lakini ana vision wapi anataka kuiona Simba ila ndugu zetu GSM wapigaji tu wapo kibiashara tu.
Kweli nyie Mbumbumbu FC! Mlimkopesha almost nusu ya thamani ya klabu kwa 20B halafu hapa mnasema Mo ana vision for Simba!! Au mmesahau Mwamedi alijifanya kuanzisha timu, lakini alipoona timu haina mashabiki, ndo akaamua kwenda Makorokoro FC ili afanikishe malengo yake ya kibiashara.
 
Sawa tusubiri lawama kwa TFF na Karia season itaanza hivi karibuni.
 
Mo ntu ya dili lakini ana vision wapi anataka kuiona Simba ila ndugu zetu GSM wapigaji tu wapo kibiashara tu.
Ni kweli kabisa hata kama ni wewe huwezi ukafanya biashara hasara
 
Sawa tusubiri lawama kwa TFF na Karia season itaanza hivi karibuni.
Kusoma hujui, hata picha ukutanai huzioni?! Kile kifungo cha miaka 5 dhidi ya Mwakalebela kimeishia wapi?! Kile kifungo cha miaka 3 dhidi ya Bumbuli kiliishia wapi?! Kama TFF wanatenda haki, kwanini basi kila adhabu wanayotoa dhidi ya Yanga baadae inaonekana ni batili?
 
Jumapili Rivers wanakulazeni na viatu mapema,lawama atabebeshwa Karia na TFF.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…