ππ πππAmechekewa wapi mzee huyu?
Kwamba mawakili wake mkao wa kula? R.MengiKatakuwa kabinti ka huko huko Vunjo kanavizia urithi!
NAKAZIAKatakuwa kabinti ka huko huko Vunjo kanavizia urithi!
Kama Pius Ng'andu! Hakuchukua round, baada ya kuoa hako KABINTI KADOGO!Mzee ana hamu ys kufa huyu siku si zake..
Kama sikosei Mhe. Mrema alifiwa na Mke wake hivihivi.Huyu anapenda utani Sana, anafunga ndoa na yuleyule mkewe wa kutoka ujanani.
Angalia usije gonga mzinga wa nyukiTutamsaidia kukapiga pipe
TimingAngalia usije gonga mzinga wa nyuki
Kwa Jacqueline Mengi imekuwaje kwani?Binti hajachuma mali nyingi na Lyatonga atapata chake kadri atavyochuma nae.
Msaidieni mzee aiseeπTutamsaidia kukapiga pipe