Aulizaye ataka kujua: Malkia na Mfalme wanapatikana vipi Uingereza?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Succession ya ufalme Uingreza inakuwaje? Charles ndiye anakuwa King, why Charles and not any other member from the royal family? Malkia na King wanakupatikanaje?
 
Its a birth right...u take after ur parent
There is a defined line of ascension to the throne...
Na inafata uzao wa mzaliwa wa Kwanza na familia yake
Pole na msiba wa Bibi ako mkwe ewe Mrs Prince William
 
Wafalme wote; Kunakuwa na mtu fulani mbabe. Anakusanya jamaa zake, wanapiga watu na kuanza kuwatawala. Hawafanyi kazi bali wanawatoza kodi hao watu na kuishi kifahari. Wale jamaa zake nao wanapewa vyeo vinono. Kisha wanatunga stori kuwa utawala wao umepangwa na Mungu na kuwa wao na vizazi vyao ndiyo wenye haki ya kutawala. Viongozi wa dini nao wanakubaliana na kuwafundisha watu hivyo, maana nao kuna chochote wanapata.

So, wafalme unaona leo ni vitukuu wa mbabe fulani huko zamani.
 
Wafalme wote; Kunakuwa na mtu fulani mbabe. Anakusanya jamaa zake, wanapiga watu na kuanza kuwatawala. Hawafanyi kazi bali wanawatoza kodi hao watu na kuishi kifahari. Wale jamaa zake nao wanapewa vyeo vinono. Kisha wanatunga stori kuwa utawala wao umepangwa na Mungu na kuwa wao na vizazi vyao ndiyo wenye haki ya kutawala. Viongozi wa dini nao wanakubaliano na kuwafundisha watu hivyo, maana nao kuna chochote wanapata.

So, wafalme unaona leo ni vitukuu wa mbabe fulani huko zamani.
Uzi na ufungwe jibu tayari huku
 
Wafalme wote; Kunakuwa na mtu fulani mbabe. Anakusanya jamaa zake, wanapiga watu na kuanza kuwatawala. Hawafanyi kazi bali wanawatoza kodi hao watu na kuishi kifahari. Wale jamaa zake nao wanapewa vyeo vinono. Kisha wanatunga stori kuwa utawala wao umepangwa na Mungu na kuwa wao na vizazi vyao ndiyo wenye haki ya kutawala. Viongozi wa dini nao wanakubaliana na kuwafundisha watu hivyo, maana nao kuna chochote wanapata.

So, wafalme unaona leo ni vitukuu wa mbabe fulani huko zamani.
Nalo neno
Ukiacha wale wa zamani tunaowasoma kwenye biblia waliowekwa na Mungu mwenyewe
 
Hili ndiyo jibu sahihi100%

Back
Top Bottom