Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

Mtoto wa aliye kuwa mchezaji hodari wa timu ya Simba AKA wazee wa matopeni Grayson Ezekiel au jina maarufu "Jujuman" Aunt Ezekiel naye kwa namna moja au nyingine ashaanza kujitangaza kama yeye ni mfuasi wa dini ya kishetani ya illuminati




View attachment 406150




Wafuasi wengine wa dini hiyo




View attachment 406151





View attachment 406152




View attachment 406153




View attachment 406154



View attachment 406155


Naona maisha yashaanza kumshinda akaona siyo kweli hawezi kufa na kiu baharini ngoja ajaribu upande wa pili





[HASHTAG]#Hance[/HASHTAG] mtanashati##siyo mtu##wa mchezo mchezo##[/QUOTEana muenzi mzee gurumo
 
Diamond bwana! mademu zake aliowapitia ndio anawaunganishia madansa na wasanii wa lebo yake!
Pamoja na wasanii wake mfano Harmo amempa Wolper

Enzi hizo unaambiwa Wolper alikuwa hasikii kitu kwa dai tena kipindi hicho dai alikuwa wa kawaida sana alafu Wolper enzi hizo yupo juu sana, maskini ya Mungu Wema akamnyang'anya Wolper dai
 
Back
Top Bottom