Aunt Ezekiel "Kwenye ndoa ni bao moja tu”. Ni kweli?

Uko sahihi sana mkubwa, mwenyewe siwezi hizo goli 5 sjui ngapi hatuna mashindano ila nakuhakikishia dakika sjui min second siweziπŸ˜’
Dk5 naamini anakuwa hajagusa kale kadude vizuriπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

"Inna da too hot ,i cum likka like ina hot pot slam gyal two times mi jus ge float ,dats why mi lov A-city weda si don wi mi bway stackin' togeda in da concert mi gi dem fleva ,mi ina i don lov bongo fleva' - Stoppa Styles tatu.
 
Wala chips

Wala chips tutawagongea wake zenu tu maana show hamwezi
Sasa ukimgonga Mke wa mtu ndiyo sifa? Hao unaowagonga ni malaya tu na wala si kwamba hawaridhishwi ndani ,mwanamke anayejiheshimu hata asipogongwa hawezi kutoka nje ya ndoa ,sisi tumekaa na watu wanaojisifu wanapiga show na wanakula makaranga na kujiboost lakini wanawake wao wanaliwa tu na watu wengine watoto wa MAMA.

Kwahiyo ukimla mke wa mtu si kwamba haridhiki ndani bali ni MALAYA huyo ,mwanamke kama hakupendi na hakutaki hawezi kukaa na wewe na kuvumilia kadhia hizo ,ukiona amekaa na wewe fresh basi jua amekubaliana na kila kitu.
 
Dakika 45 zinatosha kupiga bao moja kama umekula na kunywa vema. Hao wanaosema wanapiga bao saba labda wanahesabu mitoko, maana bao moja lina mitoko mitatu hadi minne iliyojaa. Ukirudia mara ya pili unatoa mitoko mitatu jumla inakuwa saba. Na hii inatokana uhimilivu wa mwanamke kuweza kuvumilia mikimikiki muda mrefu wa kuchakatana
 
Fatilia vyakula vyenye; Omega 3, zink, potassium, protein, vitamins B5, B6, C,. Ukitaka enegy mwilini kula kuku, bata, samaki, ng'ombe, mboga za majani, parachichi, na tango. Vyakula hivi sio tu nguvu za kiume lakini hata ngozi inang'aa balaa, fanya mazoezi ya kutembea. Vyakula hivyo utapata kwa urahisi kama ni mfugaji na una bustani. UGALI uliwe kwa hamu tu tena kidogo sana.
 
Jua kali sana, waoneeni huruma watoto wa wanawake wenzenu. Watafute ada za shule na bado wawakamue bao tano. Loh
 
Hawajambo tanga sheheee
 
NAFURAHIA kusikia sheheee nikija tanga ntakucheki ntafutie meshemeji
ila usiniletee wale wanasikia kesho naondokannguo zinabaki kwa.maji maalum nawaachia mie
 
Wala chips

Wala chips tutawagongea wake zenu tu maana show hamwezi
Mkuu elimu yako ni level Gani angalau tujue,naona umekalili kuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu,mara Wala chips tutawagongea wake zenuπŸ™„πŸ™„

Ingekuwa kula ugali ndo kuwa na nguvu basi Tanzania na Kenya wageongoza kwenye kutwaa makombe ya mpira na riadha pia darasani Kenya na Tanzania wangekuwa vinara wa elimu.

Tambua kuwa anayekula vianzi mviringo ( viazi chips) anapata virutubisho vingi kuliko wewe unayekula ugali,mfano

Vianzi Mviringo (Viazi chips) vina
  • Wanga: Chanzo kikuu cha nishati mwilini.
  • Vitamini C: Husaidia kinga ya mwili na ngozi.
  • Vitamini B6: Muhimu kwa kazi ya ubongo na utengenezaji wa seli nyekundu za damu.
  • Madini ya Potasiamu: Husaidia kudhibiti shinikizo la damu na kazi ya misuli.
  • Nyuzinyuzi: Husaidia usagaji wa chakula na kuzuia kuvimbiwa.
  • Maji: Viazi vina maji mengi, husaidia mwili kuwa na unyevu wa kutosha.

🍚 Ugali (kutoka mahindi) una
  • Wanga: Hutoa nishati ya haraka kwa mwili.
  • Protini: Ingawa ni kidogo, husaidia kujenga mwili.
  • Madini: Kama chuma, magnesiamu, na fosforasi – muhimu kwa mifupa na damu.
  • Vitamini B1 (Thiamine): Husaidia katika mchakato wa kubadilisha chakula kuwa nishati.
  • Nyuzinyuzi (kama umetengenezwa na unga wa dona): Husaidia mmeng’enyo wa chakula.

Lakini pia tambua sio Kila nchi chakula chake kikuu ni ugali,waarabu wenzetu wanakula vitu vya mfano na tense na wako mbele kwa Kila kitu sio wewe MLA ugali.

Ugali ni chakula cha masikini,Mimi naweza maliza mwaka bila kula ugali na Niko njema ki afya
 
Elimu yangu ni bachelor degree from sua na mzumbe haya sema kiongozi
 
Hayo mazoea ndio huharibu ndoa nyingi sana, hio kitu haina cha mazoea pigiza mzeee
Bado una akili za kitoto sana. Bado hata kichwani ni empty head. Huwezi kumpiga mkeo unayelala naye kitanda kimoja miaka nenda rudi bao 5, kwanza hakuna mwanamke mpumbavu wa kukubali ujinga huo hapa Dar Es Salaam labda huko mikoani kuna wanawake mazombie

Unawezaje kumshauri kwa mfano mwanaume wa miaka 55 apige bao tano kwa mkewe?

Mwanamke haachi Kuchepuka eti kwa sababu wewe unamgonga bao 5, mwanamke akiamua Kuchepuka atachepuka tu bila kujali jana ulimpiga bao 5

Kubali kwamba unapotosha watu na moderators wanapaswa kuwa makini na low content quality kama hii yako
 
Elimu yangu ni bachelor degree from sua na mzumbe haya sema kiongozi
KUMBUKA kuna tofauti ya ELIMU na AKILI

Ulibahatika kupata elimu ila akili hata 1 huna
 
Mimi ndiyo maana siku hizi sipo active sana hapa JF sababu ya hizi low quality content. Kila mjinga anaruhusiwa kupost chochote na kutupotezea muda

Alichofundishwa hasa huko SUA ni kulinda mkewe asichepuke!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…