Jambazi anajali usafi wa nyumba ya watu huko alikotoka alikanyaga matopeWatu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
mkuu umesahau kwamba zile nyumba sio zao na wanapewaga masharti na wenye nyumba zao. Angalia wanavyofungaga milango na kukaa kwny makochi kwa adabu zote.Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
Ninakusoma mkuu, soko la Nollywood sasa hivi liko juu vibaya sana, nilichogundua watoto wengi wa ki-Nigeria waliozaliwa na kukulia katika nchi za nje kama UK na USA ambao walisoma drama schools wanarudi nyumbani na wanalipaisha soko vibaya sana.Nape akitaka walau afanye kitu akaeleweka basi akomae na soko la filamu.. Hili soko lina fedha kupita maelezo... Wanaweza pata fedha nyingi kuliko hata wanazopata kwenye mafuta na gesi... Na ni njia ngepesi sana ya kujitangaza kama taifa na kuvutia watalii.. Na pia kueneza propaganda zetu tukihitaji....
Mi mawazo yangu waanze na kuwekeza kwenye majumba ya sinema.. Filamu zikiwa na soko la uhakika naamini wasanii na wadau wengine wataanza kuwa makini ili kuvutia wateja..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
Wanaigiza utumbo afu ninunue yaani bongo movie hakuna kituMsanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao
Amesema ni bora kununua bongo movie kuliko kununua movie za nje ambazo haziwahusu na za kutafsiriwa
Mkuu umenichekesha sanaWatu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
Dah! Hivi ni vituko. Toka waanze kuigiza sijawahi kufikiria kununua bongo movie na sijui kama nitakujs kuzinunuanani aangalie muvi eti jini anakodisha bajaj kumfukuza mtu