Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Nape akitaka walau afanye kitu akaeleweka basi akomae na soko la filamu.. Hili soko lina fedha kupita maelezo... Wanaweza pata fedha nyingi kuliko hata wanazopata kwenye mafuta na gesi... Na ni njia ngepesi sana ya kujitangaza kama taifa na kuvutia watalii.. Na pia kueneza propaganda zetu tukihitaji....
Mi mawazo yangu waanze na kuwekeza kwenye majumba ya sinema.. Filamu zikiwa na soko la uhakika naamini wasanii na wadau wengine wataanza kuwa makini ili kuvutia wateja..
 
Movie zenyewe ziko too predictable. .alafu waigizaji sijui ni ndugu wa ma producer maana sura zao hazivutii hata kidogo. ..watu wenye sura nzuri sio umbo bali sura huwa wanavipawa. ...I hope mtazingatia haya. ..asante
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
Jambazi anajali usafi wa nyumba ya watu huko alikotoka alikanyaga matope
 
3ab36cf6c01efe5e8b0f64ea387bdfeb.jpg

c155259cb9455522576bdb49540e7650.jpg

Huyu jamaa chizi kweli
Yaani niache kuwatizama
Akina t bag watu wa maana

Nitizame jini linaangalia kulia na kushoto ndio anavuka barabara

Jambazi kishoka kakaza sura huku anakunya kisu eti ndio kuonyesha ukauzu,toka lini mtu akanya kisu

Bongo movie ombeni mahouse gal waongezeke ili soko lenu litanuke
 
JF bana, kila mtu anajifanya anacheki movie za mbele tu, Auntie Ezekiel asijali, sisi wazalendo tutaangalia sana, tena ngoja niongeze ratiba ya kuangalia.
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
mkuu umesahau kwamba zile nyumba sio zao na wanapewaga masharti na wenye nyumba zao. Angalia wanavyofungaga milango na kukaa kwny makochi kwa adabu zote.
miznguo
 
Nape akitaka walau afanye kitu akaeleweka basi akomae na soko la filamu.. Hili soko lina fedha kupita maelezo... Wanaweza pata fedha nyingi kuliko hata wanazopata kwenye mafuta na gesi... Na ni njia ngepesi sana ya kujitangaza kama taifa na kuvutia watalii.. Na pia kueneza propaganda zetu tukihitaji....
Mi mawazo yangu waanze na kuwekeza kwenye majumba ya sinema.. Filamu zikiwa na soko la uhakika naamini wasanii na wadau wengine wataanza kuwa makini ili kuvutia wateja..
Ninakusoma mkuu, soko la Nollywood sasa hivi liko juu vibaya sana, nilichogundua watoto wengi wa ki-Nigeria waliozaliwa na kukulia katika nchi za nje kama UK na USA ambao walisoma drama schools wanarudi nyumbani na wanalipaisha soko vibaya sana.
 
Aisee... Ni ngumu... Ila nilikua Naangaliaga movie za the late Kanumba(RIP) kipindi hichoo but kwa Sasa siwezi...kiwango bado kidogo sana kwenye tasnia hiyo..
 
Muulize ile movie yake ya Christmas alotoa mwisho wa mwaka jana aliitunga yeye akiwa na akili timamu au
 
waache kuendekeza maombo yao bali wake chini waumize kichwa waigize kitu kinachoeleweka sema .. wanataka akiamka awe na make up usoni hapana kwa kweli soko hawana
 
Msanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao
Amesema ni bora kununua bongo movie kuliko kununua movie za nje ambazo haziwahusu na za kutafsiriwa

Wanaigiza utumbo afu ninunue yaani bongo movie hakuna kitu
 
Nyumbani kwangu nilishakataza kuangalia vitu viwili:
1. Video chafu chafu zikiwemo bongo movies
2. TBC television
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mbele wanajua, unacheki movie kama kweli vile, sio kwa Bongo movie uchafu mtupu
 
Wakati umewapita brother k ndo alikuwa sterling ila kafa na bongo muvi yake alikuwa ameanza kuwa wa kimataifa kufanya kazi na watu wa nje ambao wametuzidi level na ray alikuwa ni mshindani wake wangekuwa mbali sana ila ray kajikuta hana wakumuumiza kichwa!
 
Back
Top Bottom