shibumi
Senior Member
- Dec 14, 2016
- 125
- 205
Nape akitaka walau afanye kitu akaeleweka basi akomae na soko la filamu.. Hili soko lina fedha kupita maelezo... Wanaweza pata fedha nyingi kuliko hata wanazopata kwenye mafuta na gesi... Na ni njia ngepesi sana ya kujitangaza kama taifa na kuvutia watalii.. Na pia kueneza propaganda zetu tukihitaji....
Mi mawazo yangu waanze na kuwekeza kwenye majumba ya sinema.. Filamu zikiwa na soko la uhakika naamini wasanii na wadau wengine wataanza kuwa makini ili kuvutia wateja..
Mi mawazo yangu waanze na kuwekeza kwenye majumba ya sinema.. Filamu zikiwa na soko la uhakika naamini wasanii na wadau wengine wataanza kuwa makini ili kuvutia wateja..