Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
Wahenga walisema,ukisema cha nini wenzio wanasema watakipata lini,ndio maisha yalivyo.Makapi.
Hivi jina lake halisi ni Rahma kumbe, hili tulijualo ni la usanii tu..
ficha ujinga wako. Usifiche busara zako
Ina maana Bi Rahma ni shuga mamy kwa Demonte?
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa
Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.
weweweweeeee Nicas Mtei ishia hapo hapo....
ntakufungiukia alaaaaa!!!!!
kiukweli kapendeza sana!
nimekumbuka wimbo wa
walisema haolewi mbona kaolewaaa
walisema haolewi mbona kaolewa walisema hampati mbona kampata
haya mwaya anti kila la kheri ndoa ikawe na amani!
Lol!!Njaa balaaaaaaaaaa yaani kaolewa na mchoma makanisa kweli huyu demu maji taka kwishneeeee kama angekuwa dada ngu asingetia mguu home tena mie nina mchezo.
Makapi.
Ila kiukweli im am so happy with my choice not to wear makeup. Aunty Ezekiel you look far way beautiful bila mikorogo hiyo. Make up zinazeesha.