Kwani jamaa unamjua vizuri historia yake? Isije kuwa Muuza cheni kauza cheni bandia na Mnunuzi katoa hela bandia sisi wa mjini tunaita ngoma droo au kule nyumbani tunasema ngoma inogile...
Amependeza, kabwana kama katoto fulani hivi. Kuna watu wanapenda kuchafulia wenzao majina si juzi tu walisema kafumaniwa
Anyways ubarikiwe kwenye ndoa yako.
Yaani kuna negative comments nyingi kwenye post hii kuliko positive comments.. Tukumbuke hakuna alie msafi au kukamilika machoni pake Muumba wetu.. Bibie ameolewa mnamsema vibaya na wengine mkimuombea aharibu mapema ili nafci zenu ziridhishwe na unabii wenu wa kiza..! Mmesahau anaejiona msafi ndio awe wa kwanza kumrushia neno baya huyu dada..
Kila la kheri Bi Rahma katika maisha yake ya ndoa.. Akiunganishacho Mungu binaadam hana uwezo wa kukitenganisha..
Ila kiukweli im am so happy with my choice not to wear makeup. Aunty Ezekiel you look far way beautiful bila mikorogo hiyo. Make up zinazeesha.
Ya kweli haya,mbona wenzetu wana talaka na wengine kuwa na vyuo vingi ni ufahari..
Ila kiukweli im am so happy with my choice not to wear makeup. Aunty Ezekiel you look far way beautiful bila mikorogo hiyo. Make up zinazeesha.
Huyo Demonte ni nani jamani mbona kama katoto au ni baby face tu?ajipange kweli kweli!!huyo ni msanii hadi kwenye maisha ya kila siku!!kila la kheri
Jamaa kaoa matatizo
Mkuu Mbona hata Wakristo talaka inatambulika ila ni pale tu uzinzi unapokuwa umethibishwa kufanyika.. Hayo ya vyuo vingi ni maridhiano na aliewahi mji.. Maana kuna sheria ambazo baadhi ya wanaume wakware wanaikiuka katika kuweka vyuo vingi...
All in All,huyo kijana ipo siku isiyo na jina, ATAJUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUTA KUMFAHAMU huyo binti.............
Mkuu hupaswi kupiga ramli kama hiyo..
Pamoja na yote kaka waliotutangulia walisema, Nyota njema...........................
na wewe kumbe ulishawahi kuonjeshwa. Aisee, acha wenzio wapate 'ngera'