Aunty Ezekiel: Natamani kupata mtoto

List inakuja binamu kaa mkao wa kura, utamjua kiongozi wa juu had washiriki wote

Heheeiyaaaa...

Can't wait...
So wanasagana huku wana bf zao.... si waaamue moja tu
 
Binamu mi nipo nafuatilia kwa makini

yani apa binamu natetemeka, mmh nisije mwagiwa tindikali bure, maana nasikia mtandao ni mzito na wanapata support kutoka kwa viongoz wa juu kabisa, ebu ngoja nisikie umbea kwanza, maana hata apa ata hamu ya kula sina binamu nshashiba, nshapata kitulizo cha roho naenda zangu kupata mbil tatu nkalale
 

HAhahahaaa......sasa hao viongozi hizo pesa si wakafadhili mahospitalini!!!

binamu njooo tupate Wine hapa tushushie umbea
 

hadi yapande jamani kkaaah!hatuna njiwa sie ujue
 
Last edited by a moderator:

llloooh...!binamu tafadhali tafadhali niko chini ya miguu yako usinisahau kwenye ufalme wa umbea
 

Ka makubwa kwahyo hiyo Wema huko nyuma hamna kitu hi ni shida bin shida na hao watu inaonyesha hamu iliisha hadi akachafua mazingira
 
Last edited by a moderator:

Mabwaku haya, binamu mashetani yakupande sasa hivi, mwaga data
 
Ka makubwa kwahyo hiyo Wema huko nyuma hamna kitu hi ni shida bin shida na hao watu inaonyesha hamu iliisha hadi akachafua mazingira

Aaah ule mtandao hamna kitu...tena kabla ya hapo alishafumuliwaga sema hiyo siku ni kwa sababu ya sembe ndo maana akaharisha sana! Yan bongo movie waliitana kujisevia na kipindi hicho ndo Wema ana kile kijungu cha mchina walikipakua sana...Naskia na msela PHD hapo ndo alipopata maujuzi ya kupakua na kupakuliwa mtandao...Emb Muuza Sura uje uverify haya makitu..!
 
Last edited by a moderator:
warumi ahsante binamu.
Ngoja nijaribu kubinuka kama aunty ezekiel
 
Last edited by a moderator:

mmmmhhh...!jamani kumbe ndo yeye nliskiaga ila sikutajiwa jina
 
Last edited by a moderator:

Shusha maubuyu, du makubwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…