Aunty Ezekiel: Natamani kupata mtoto

Binamu tiririka kwa hiyo hemed naye akaliwa tigo apo apo na yeye, wonders shall never end in this land
 
Last edited by a moderator:

Ndo mana sura imemshuka kama mzee na huo ufirauni wao eti staa mxiuuu hapo akiaachia sh...z ni shida kazi anayo kweli
 
Last edited by a moderator:

Hahahaa umeshiba umbea binamu. Umbea kitulizo cha roho yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mmh mbona ntakuwa silali leo mwenzenu, haya binamu G Sam endelea kutusimulia hayo maajabu ya hawa so called superstars. Binamu warumi endelea tu kukusanya data, yani kama nakuona ulivyo-concentrate kusikiliza utadhani unapata lecture uje upige test vizuri hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Yan binam kungekuwa na test za umbea nadhan ningekuwa genius darasan maan ninge concentrate kwa roho,mwili na moyo wote
 
Last edited by a moderator:
Yan binam kungekuwa na test za umbea nadhan ningekuwa genius darasan maan ninge concentrate kwa roho,mwili na moyo wote

Aaah kwa umbea tu binamu mbona ungekuwa Tanzania One na vyuoni ungekuwa na first class mwanzo mwisho hahaha, nakuaminia sana kwenye hii sector

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan body namaanisha ajae ajae kifua,sasa kifua cha panzi khaa!!!!!!mwanaume gani huyoo

We sura aah ata hujali binamu yangu ata mwanaume awe na sura ka dafu la kimbiji we twende ilimrad awe na kifua? Aya binamu na unayawez
 
We sura aah ata hujali binamu yangu ata mwanaume awe na sura ka dafu la kimbiji we twende ilimrad awe na kifua? Aya binamu na unayawez

Mwanaume hasifiwi suraa amekua demu, aku! !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…