Hivi hayo ya Wema ya huko Ilala ni kweli jamani au wanaomchukia wanaamua kumchafua binti wa watu. Siyo vizuri jamani. Kwa sababu kama ni kweli ina maana Diamond hayajui. Sidhani kama angekubali kudate na mtu aliyechafuka kiasi hicho kwani yeye haogopi magonjwa jamani.
Yeye mwenyew ndomo alishawah kusema wema malaya na kashamfumania LIVE kwa macho yake na mwanaume, ni yeye huyo huyo ndomo alisema hawez kuwa na mwanamke malaya kama wema, so kuhusu sijui ndomo kujua anajua vizur uchafu na hawara yake, sema yeye yupo kinyota zaid, nyota ikiisha wat wanakimbia
Hee makubwa kweli kweli. Basi diamond ameamua kusacrifice maisha yake kwa kiasi kikubwa kwelikweli. Nimeona amemuwish dada yake wema happy birthday my shemeji na sifa kem kem kwa dada yake wema halafu latupia na kautani kidogo kwa shemeji yake huyo. Mimi nashindwa kuconclude vby juu yao maana inaonekana wanapenda sana.
Nimeona nini kusema anataka kumuoa, si unakumbuka alivyokuwa na penny alimwambia wema wawaache walale na kumrekodi juu wat tukapata na ma umbea, so kwa ndomo lolote linawezekena atajiropokesha apo cha muhimu ni vitendo tu
Nilitongozwa na wema na kajala wanisage nikakataa
Nimeona nini kusema anataka kumuoa, si unakumbuka alivyokuwa na penny alimwambia wema wawaache walale na kumrekodi juu wat tukapata na ma umbea, so kwa ndomo lolote linawezekena atajiropokesha apo cha muhimu ni vitendo tu
Penny ndo alimuacha baada ya kuona mambo mazito, ndomo alikuwa anachepuk na mama ubaya bibie kujua akaona sio kesi ngoja amwage manyanga
Ndo mastaa wetu hao, kesho atakwambia hataki kuzaa bado yupo yupo kwanza. Huyu kwanza alikuwaga na mimba sijui aliipelekaga wapi kama hakutoaga
Yaan kana mwili kama kavulana khaa hakajajaa hata kidogoo lo
Heaven on Earth, Dinazarde, geniveros, TATIANA, amu, mamakibunju, Mrembo by Nature, BADILI TABIA, Ruttashobolwa, lusungo, zavi, Matola, princess sayuni, qn of sheba, Tour De France, zavi, matumbo, ramu aka mama warumi, Madam B, Heaven Sent, Mimi ebu piteni uku muone balaa la LAMADA HOTEL
Kana jina LA kithungu au ndo Yale Yale ya Sang'olyelye kujiita Olyelicious
hahahahahaha mbavu zangu
Aaah ule mtandao hamna kitu...tena kabla ya hapo alishafumuliwaga sema hiyo siku ni kwa sababu ya sembe ndo maana akaharisha sana! Yan bongo movie waliitana kujisevia na kipindi hicho ndo Wema ana kile kijungu cha mchina walikipakua sana...Naskia na msela PHD hapo ndo alipopata maujuzi ya kupakua na kupakuliwa mtandao...Emb Muuza Sura uje uverify haya makitu..!
kuhusu mtungo hiyo taarifa siijui ila nachojua wema nyuma ni kama mbele....
Aaaah aaah duh noma
Yan binam kungekuwa na test za umbea nadhan ningekuwa genius darasan maan ninge concentrate kwa roho,mwili na moyo wote