Aunty wa mjini alinisimulia alivyowekeza kupitia udangaji

Eclaire

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
93
Reaction score
222
Aunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.

Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.

Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.

Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.

Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
 
Umekosea kiti kidogo sana kwenye hadithi yako uliyotunga. Sh laki moja kipindi alichosema huyo aunty wako ni kiasi kikubwa sana.
 
Hizi habari sio za kuleta public udangaji haijawahi kuwa kazi....
ni chukizo kwa Mola
 
Kaka msimuliaji..

umesema kwamba shangazi yako alidanga na waziri kisha akanunua kiwanja,baadae akadanga na wafanya biashara wakubwa kisha akaanzisha biashara ya pikipiki na sasa ni tajiri

Una kipi cha kuwashauri wadangaji wadogo wadogo wanaochipukia?

Karibu[emoji441]
 
Back
Top Bottom