Aunty wa mjini alinisimulia alivyowekeza kupitia udangaji

Shetani ni binadam kumbe,kuna vimtu pale juu vimecomment ili kumkera mtoa post,
 
Du bahati nzuri nimeolewa, sijui nimfanye hubby danga kwa wiki hii.
Nami nimeoa ila ninavyokupenda(ga), njoo unifanye danga lako tukale zetu bata Kigali na Durban, vigezo ni rangi nyeupe na huko uwani pawe mashalaah!
 
Kaka msimuliaji..

umesema kwamba shangazi yako alidanga na waziri kisha akanunua kiwanja,baadae akadanga na wafanya biashara wakubwa kisha akaanzisha biashara ya pikipiki na sasa ni tajiri

Una kipi cha kuwashauri wadangaji wadogo wadogo wanaochipukia?

Karibu[emoji441]
Si tajiri lakini ana pesa ya kula
 
Aunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.

Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.

Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.

Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.

Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
...Hujaeleza jinsi na wakati alipokuwa analipia vyote anavyopokea! Au alikuwa anapewa tu bure????[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aunty maana yake nini
 
Kipindi ambacho jinsi ya mawasiliano ni barua tu, akaanzisha biashara ya nini akichukua mzigo Dubai?
Kwenye wengi kweli hakuharibiki kitu
Kuna mistari katikati ya hii hadithi nilikua siielewi ila sababu ya uchovu na wengine hapa jf mda mwingi tupo for fun nikawa nashuka nayo tu hivyo hivyo ntafanyaje sasa 😄😄😄
 
Twendeni Njombe tukalime viazi na parachichi. Dada zangu umalaya ni chukizo mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom