Aunty wa mjini alinisimulia alivyowekeza kupitia udangaji

Shetani ni binadam kumbe,kuna vimtu pale juu vimecomment ili kumkera mtoa post,
 
Du bahati nzuri nimeolewa, sijui nimfanye hubby danga kwa wiki hii.
Nami nimeoa ila ninavyokupenda(ga), njoo unifanye danga lako tukale zetu bata Kigali na Durban, vigezo ni rangi nyeupe na huko uwani pawe mashalaah!
 
Si tajiri lakini ana pesa ya kula
 
...Hujaeleza jinsi na wakati alipokuwa analipia vyote anavyopokea! Au alikuwa anapewa tu bure????[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aunty maana yake nini
 
Kipindi ambacho jinsi ya mawasiliano ni barua tu, akaanzisha biashara ya nini akichukua mzigo Dubai?
Kwenye wengi kweli hakuharibiki kitu
Kuna mistari katikati ya hii hadithi nilikua siielewi ila sababu ya uchovu na wengine hapa jf mda mwingi tupo for fun nikawa nashuka nayo tu hivyo hivyo ntafanyaje sasa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Twendeni Njombe tukalime viazi na parachichi. Dada zangu umalaya ni chukizo mbele za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…