Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Yaani nitoe pesa yangu halafu uniite Danga kweli??.Aunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.
Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.
Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.
Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.
Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
Umeona eenhh???.Hahaha... story za zamani!
Wakati ule msichana mmoja anafukuziwa na vidume mia Moja... ila leo mwanaume/rijali mmoja anabembelezwa na " Ke * elfu Kumi na Moja...
Time
Je milioni? Maana wa pili alimpa milioni au unafikiri enzi hizo hakukuwa na pesa?Umekosea kiti kidogo sana kwenye hadithi yako uliyotunga. Sh laki moja kipindi alichosema huyo aunty wako ni kiasi kikubwa sana.
Kwanini panya aking'ata huwa anapuuliza?Malay...a anapoitwa Danga
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Daah afu ni yy kweli
Supa,sasa akizaa awafunze watoto wake hiyo akiliAunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.
Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.
Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.
Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.
Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
Sasa udange piaAunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.
Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.
Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.
Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.
Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
Halafu biashara ya spare za pikipiki enzi hizo.....mmmhUmekosea kiti kidogo sana kwenye hadithi yako uliyotunga. Sh laki moja kipindi alichosema huyo aunty wako ni kiasi kikubwa sana.
Ghafla nimemkumbuka Juma Athuman Kapuya, usikute ndo Anko wetu.Aunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri. Enzi hizo hakuna simu za mkononi.
Waziri alimtuma dereva shuleni na kopo la biscuit, juice, matunda na pesa laki moja kwenye bahasha ya khaki. Ndani ya bahasha kukikua na barua kuwa anachohitaji awe anakwenda ofisini kwa Waziri. Baada ya kumaliza shule alikua free zaidi kwani chuo kidogo uko free hubanwi kama shuleni.
Safari zote za Ulaya alisafiri na Waziri, alitangulia airport wanakutana na Waziri huko huko. Wakati ofisini anasema anakwenda na mke wake. Huko Ulaya akipelekwa madukani ananunua viatu pair tano, handbags, perfumes vile vya majina makubwa. Akirudi anauza kwa wenzake na hela aliweza kununua kiwanja Kawe enzi hizo bado porini.
Alipoachana na Waziri, passport yake ilikua na mihuri na visa za nchi kama tatu. Ilimsaidia kupata visa kirahisi. Danga la pili lilikua mfanya biashara. Date ya kwanza mzee alimpa milioni moja ajiweke sawa kimavazi. Anasema alitumia kama laki moja na nusu kwa nguo ili danga lione mabadiliko nyingine alianza kununua spare za pikipiki Dubai. Enzi hizo laki nane inatosha mtaji.
Alikuja kuolewa na kuwa na familia lakini kila danga lina kumbukumbu inayoonekana katika maisha yake.
Kaka msimuliaji..
umesema kwamba shangazi yako alidanga na waziri kisha akanunua kiwanja,baadae akadanga na wafanya biashara wakubwa kisha akaanzisha biashara ya pikipiki na sasa ni tajiri
Una kipi cha kuwashauri wadangaji wadogo wadogo wanaochipukia?
Karibu[emoji441]
Ni kweli na kwa kuwa CHADEMA wako mstari wa mbele kuidai, Ila KIKWAZO ssh kasema sio kipaumbele chake.Nimesoma na nimerudia Ila nikaona tatizo ni katiba mpya tu🤔🤔🤔🤔
Ipo siku tu mkuu tutatoboaNi kweli na kwa kuwa CHADEMA wako mstari wa mbele kuidai, Ila KIKWAZO ssh kasema sio kipaumbele chake.
Tuelimisheni wengine, utofauti wa danga na malaya nini?malaya huyo sio danga