AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

We nani kwani we nabii au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahh nashindwa hata nianze vp nafanya hili jaribio nikiwa nimekaa nimesimama au nimelala kama meditation ya pumzi au, alafu nit ipree emty vp akili yangu nisifikirie chochote il niweze focus kwenye hio karatasi...???
nihayo tu kwa sasa
 
Moja kati ya sheria za kutuliza akili na mawazo ni kutokutegemea kupata matokeo kwa muda huo basi hapo hapo utaona matokeo mkuu ikikushinda hiyo ya karatasi tumia ya kioo yaweza kuwa rahisi kwako, japo wengi huona inatisha kotukana na mwanga wa kwanza kabla ya kusoma aura,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo group mkuu,vigezo gan hutumika ku enroll

jw library
 
Rakims,Uzi wako wa kumuita aliye mbali ndo umenileta huku ,Mimi huwa naziona hizo rangi za pemben mwa vitu au watu kirahisi tu maana muda mwingi napenda kukaa peke yangu just staring into space bila mawazo yoyote ila leo ndo nmejua ni AURA na zina maana duh!..kesho ntazingatia mchana nijue yangu ntakupa mrejesho then nirudi kwenye kutafutana unielekeze vzr
 
asante na karibu mkuu

rakims
 
Rakims je njia ya kusafisha nyota ambayo ni rahisi mtu anayoweza hata kujifanyia mwenyewe nyumbani?
 
Rakims je njia ya kusafisha nyota ambayo ni rahisi mtu anayoweza hata kujifanyia mwenyewe nyumbani?
chumvi ya mawe unaweka ndani ya beseni na maji lita 7 saba u anafanya kwenye mwanga mweupe unahisi ile chumvi mawe inavyovuta chini unacommand kuwa unaondoa kila giza kwenye mwili wako mikosi na nuksizote kisha utaskia vichomi kwenye mwili hasa sehemu za tumbo vitauma vumilia ni uchawi baada ya hapo chukua maji safi na chumvi ya
 
Bado hujamaliza maelezo mkuu umeishia kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…