chumvi ya kawaida unarudia tena zoezi unafanya visualization kuwa kadri miguu yako inavyozidi kufyoza madini hayo ndio aura yako inavyozidi kushine ila kama una uwezo wa kutazama aura basi baufwnyi visualization unaangalia tu inavyozidi kubadilika, na hii ni kwa wenye aura ya bluu pamoja na silver au nyeupe tuBado hujamaliza maelezo mkuu umeishia kati
Habari mkuu, mimi aura za baadhi ya rangi nimeshaziona ila sijajua namna ya kuzifaidi.
Mfano rangi ya blue hutoa aura ya chungwa
Nyekundu hutoa aura ya kijani
Njano hutoa pink iliyopauka
Nyeusi hutoa aura nyeupe
Nyeupe hutoa aura nyeusi
Kijani hutoa zambarao nk;
Pia nikiangalia chochote huwa nahama na kimvuli chake au nikisoma hata bango mahali huwa naondoka na copy ya maandishi hayo kwa muda
Pia wakati naanza hii kitu nilikuwa nachukua muda sana kuona aura lakini sasa kuna time najishtukia kuona rangi kali ya ghafla isiyopo kwenye mazingira yangu na mara paahp naduwaa na kuanza kuchunguza na baada ya muda nagundua kuna rangi iliyopo karibu unakuta nimeona aura yake bila kutegemea unakuta nimepitisha tu macho hapo.
Pia kuna vingine huwa havina aura ila nikivitazama na kuondoa macho huwa naondoka na vivuli/ramani zao/vyao.
Pia kisimama kwenye jua nikafumba macho kwa muda kama sekunde 15 na kuendelea, nikifumbua tu macho mazingira yote nakuta yamekuwa ya kijani yote hata kama mazingira hayo hamna rangi ya kijani.
Kwa upande wa aura za watu sijaona isipokuwa naona vizuri kabisa aura za nguo walizovaa ila naona tu ramani za miili yao.
Nisaidie mkuu natanguliza shukrani
Hapana mkuu mimi na wewe hatujawahi kuwasiliana PMnadhani nilishakujibu haya P.M

Asante mkuu, sasa tatizo ni kwamba aura yangu sijaielelewa maana nikijitazama sana naona kama aura iliyo hafifu sana yenye rangi ya kijani kilichochafuka au saa nyingine na rangi kama ya kijivu cha mawingumawingu hafifu yenye mchanganyiko wa kijani kwa mbalisawa sasa ipo hivi hizo ndizo aura kweli za halisi za hizo rangi unazoona na ndizo zinazokuwa zikizunguka hivyo vise verse isipokua rangi nyeupe huwa inatoa silver unless aliyeva awe ni mtu mwenye aura hiyo,
na ukiona unaona aura halafu kiumbe au mwenye nayo hayupo hizi huwa ni nafsi za viumbe wasiionekana mfano Majini na maaika au aliens ushauri wangu endelea kuangalia na kujifunza na kuziexperience ila kumbuka ku seal aura yako ili usijekuwa attacked kwa maana vinginehavipendi kuoewa
Rakims
Asante mkuu, sasa tatizo ni kwamba aura yangu sijaielelewa maana nikijitazama sana naona kama aura iliyo hafifu sana yenye rangi ya kijani kilichochafuka au saa nyingine na rangi kama ya kijivu cha mawingumawingu hafifu yenye mchanganyiko wa kijani kwa mbali
Shukrani kakaongeza kula karoti kwa wingi kisha kunywa glass ya limao kila siku asubuhi iliyo na chumvi vijiko viwili kwa siku 3
Rakims Spiritual tembelea hapoNahitaji Kujifunza Mambo Haya Kiundani, Sijui Nianzie Wapi Mkuu Rakims
Na magroup yako ya watsap na yapatajeRakims Spiritual tembelea hapo