AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Mkuuu plz naomba uni add katika hizo group nipate elimu hii adhim mkuu 0713522447
Hakuna Tabu Anza Na Hili Zoezi Kwanza Hii Ndio Karibu Beginners..

rakims
 
Aisee mbona kama mie nipo njia panda vile nimejicheki nimegundua kuwa nina aura nyeusi nimeogopa sana wakati hata uchawi wa kutumia ndula siujua au wananichukuaga najumuika nao usiku?Pia hii inaweza ikawa ishara ya kuwa nimerogwa au?
cc Rakims
 
Ni somo pana zaidi ya pure mathematics kwa sababu hata namba zinatumika kwa Advanced learners .
1.Anza kumeditate
2.Acha kuamini dini yako
3.Follow guidance from within
4.acha kuamini uchawi
5.Follow your feelings
6.Develop your intuition by meditating.
Tafuta thread ya how to meditate then follow procedures
Dini ni nini? unaelewa nini kuhusu dini?
 
Aisee mbona kama mie nipo njia panda vile nimejicheki nimegundua kuwa nina aura nyeusi nimeogopa sana wakati hata uchawi wa kutumia ndula siujua au wananichukuaga najumuika nao usiku?Pia hii inaweza ikawa ishara ya kuwa nimerogwa au?
cc Rakims
Angalia Vizuri Yawezekana Umeona Ya Muda huo na hiyo alama inahisiana na ubaya ubaya yawezekana ww ni mwizi pia au mchawi au jambazi ama kunatukio baya ulishafanya jeusi

Rakims
 
Nimeangalia baadhi ya rangi njano imesoma blue na kijani imesoma zambarau je ni kweli mkuu
Hakikisha unaangalia zaidi ya mara saba kwa kurudia kwenye hali tofauti tofauti na mwanga tofauti tofauti ili macho yaweze kuzoea ndipo uendelee na hatua ya pili tatu nne hadi tano..

Rakims
 
Tatizo la elimu nyingi za sasa, ni diluted kutoka elimu ya juu zaidi na yenye nguvu.

Ni kama tone moja lililochanganywa kwenye jagi la maji na kuambiwa hilo jagi ni kiwakilishi cha tone moja. Au tone moja la bahari kuambiwa ni kiwakilishi cha bahari nzima.

Katika New Age movement kuna lots of ideologies zilizocopy eastern spirituality na kutafsiriwa wrongly.
 
Hapana Aura Yako Ni moja mkuu sema unaigizia nyingine hapo sio yako na ya kukuongoza ni moja tu,
tunarudi pale pale mtu anakua anapenda kula halafu anapendeshwa kuoga vitu viwili tofauti...
naaanisha ulivyojilea umejiweka kwenye aura mbili lakini yako ni moja na utaijua kwa kufungua kichwa zaidi

Rakims
Big up
 
Nimeona Aura yangu ni Red lakini pia nyota yangu ni Mashuke na si nyota ya punda na ng'e kama ulivyosema hapo mr Rakims.hapo inakaaje?
 
Nimeona Aura yangu ni Red lakini pia nyota yangu ni Mashuke na si nyota ya punda na ng'e kama ulivyosema hapo mr Rakims.hapo inakaaje?
Ipo katika madhali gani ipo sealed au inatambaa kama nuru hivi?

rakims
 
Ni somo pana zaidi ya pure mathematics kwa sababu hata namba zinatumika kwa Advanced learners .
1.Anza kumeditate
2.Acha kuamini dini yako
3.Follow guidance from within
4.acha kuamini uchawi
5.Follow your feelings
6.Develop your intuition by meditating.
Tafuta thread ya how to meditate then follow procedures
Namba 2 ndo mnavyoeneza u-atheism wenu hivyo?
 
Sijakuelewa mkuu!
I mean ulipokua unaiona ipoje kati ya hizi mbili
hands.png

images.jpg

rakims
 
Ni somo pana zaidi ya pure mathematics kwa sababu hata namba zinatumika kwa Advanced learners .
1.Anza kumeditate
2.Acha kuamini dini yako
3.Follow guidance from within
4.acha kuamini uchawi
5.Follow your feelings
6.Develop your intuition by meditating.
Tafuta thread ya how to meditate then follow procedures
Unaleta uchawi kwa style mpya eti acha kuamini dini yako kwahiyo nikuamini wewe
 
Back
Top Bottom